
kapaso bkp - umependa كلمات أغنية
shiii beberuu
nakugalamia kukuacha ndo siwezi
nisha foll love kwanza na uchungu wa mapenzi
na tukigombana kwanza natokwa na machozi
oooh ukinicheet utanikuta na kitanzi
jua aaa
oooh moyo w_ngu kirema moyo w_ngu umependa
moyo w_ngu kirema moyo w_ngu umependa
dulla bass moyo w_ngu kirema moyo w_ngu umependa
ooh moyo w_ngu kirema moyo w_ngu umependa
haupangiwi moyo umempenda moyo w_ngu
haurazimishwi moyo ameziteka isia zangu
moyo una sifa na mamlaka ya kupenda unacho taka moyo ooh
moyo moyoo utanuka upendo ata uu tupe dampo moyo ooh
moyo moyo unaenda mbio
moyo moyo w_ngu haukomi
moyo ndo ivo sina salio
moyo nilishe ata kwa ulimi
oooh moyo w_ngu kirema moyo w_ngu umependa
moyo w_ngu kirema moyo w_ngu umependa
dulla bass moyo w_ngu kirema moyo w_ngu umependa
oooh moyo w_ngu kirema moyo w_ngu umependa
aya mama karia ugoko acha utoto miuno paka chongo hii baikoko
karia ugoko acha utoto miuno paka chongo hii
moyo una sifa na mamlaka ya kupenda unacho taka moyo ooh
moyo moyoo utanuka upendo ata uu tupe dampo moyo ooh
moyo moyo unaenda mbio
moyo moyo w_ngu haukomi
moyo ndo ivo sina salio
moyo nilishe ata kwa ulimi
kapaso kapaso kapaso apa g_nius from tanzania
كلمات أغنية عشوائية
- mazoo - bientôt tu voudras كلمات أغنية
- mikey da 1st - dark road كلمات أغنية
- emma lu - shrink me كلمات أغنية
- travis anderson - compounding issue كلمات أغنية
- zimski - klon كلمات أغنية
- daniël lohues - gao'j met? كلمات أغنية
- mark borino - twenties كلمات أغنية
- alexinthemiddle - sunny days كلمات أغنية
- dru bex & kay sade - top spot كلمات أغنية
- ataberk kurnaz - kâbus كلمات أغنية