kapaso bkp - shisha singeli lyrics
shisha singeli
vinanada classic
aaah chunchu eeeh
ohh jamani mapenzi na shisha mi napenda shisha
mi mwenzako sipendi mapenzi ya kibongo mi napenda shisha
we jamani mapenzi na shisha mi napenda shisha
siku hizi siyataki mapenzi ya kibongo napenda shisha
minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
oya weeh
kila mtu ana haki ya kupenda anachotaka
kuhusu mapenzi mwezenu sielewi
kunywa mitungi mibange kula bata
yaani mademu ndio mmhh sielewii
oya mtanichanganya ukinyima shisha
ukitaka ni lose hope we ninyime shisha
fadhili utanivuruga ukininyima shisha
ukitaka nikufelishe we nyime shishaa
minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
k_manisha nini wezee
minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
shii beberuu kapaso hapa g_nius from tanzania
anga bkp brand anaitwa sabri night
oyaa hii nikiwa na fadhili chunchu chan
we bish dereva wa mkoa
nakusalimia mwanangu kaiser larden
don mendezi we d smartcode
roho safi mwanagu big stima
subiri fadhili subiri
aaah sponsor mc hapa
mtk
Random Lyrics
- marco caldarone - if the world split in two lyrics
- slapitapiboy - what are you so afraid of (cover) lyrics
- psychoyp - not my fault lyrics
- marcelo d2 - tempo de opinião (part. metá metá) lyrics
- vermisst (band) - surgery lyrics
- lil kashin mane - makeherwalk lyrics
- macormic - tonight lyrics
- cloudsize - важно не важно (important doesn't matter) lyrics
- covered wagon musicians - phantom jets are coming lyrics
- onyx colony - home lyrics