kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kapaso bkp - nimekuchagua كلمات أغنية

Loading...

(intro)
vinanda classic
beberu!
fadhili chunchu!

(verse 1)
kuna muda tu nafeel maumivu
nashindwa kuvumilia
sitamani tu ufike mwisho wetu
wapi ntaegemea?

ajali ya mapenzi na hofia kitu
break ikisha nasia
mbele kiza, nyuma sitaona kitu
maana nimekuzoea

(pre_chorus)
sisi tulimuomba mungu akapanga
ugumu wa maisha ndo umetujenga
moyo w_ngu ulichagua kukupenda wewe

(chorus)
kisiki na milima tulipanda
kwenye moyo nimejenga, sij_panga
nashukuru nafurahi
kupendwa na wewe
ndomana…
(hook)
nimekuchagua wewe
uwe w_ngu, uuuh
w_ngu wa maisha, wakufa na kuzikana
usijali maneno wasemayo, ooh
w_ngu wa maisha, wakufa na kuzikana

(verse 2)
nakupenda wewe, eeeh
nakupenda mama, maaa
nakuhusudu wewe, weee
nakupеnda mamaaa, aah yaa

wengi wanajua
kila siku kwetu imeumbwa furaha
tushapitia shida na mеngi mabalaa
kila changamoto kwetu inajirudia

oooh, tushalifeli kodi
tukakosa pa kukaa
life lenye ziki, nguo zenye viraka
upo kwenye moyo, sijutii kukujua

(pre_chorus)
sisi tulimuomba mungu akapanga
ugumu wa maisha ndo umetujenga
moyo w_ngu umechagua kukupenda wewe
(chorus)
kisiki na milima tulipanda
kwenye moyo nimejenga, sij_panga
nachoshukuru, nafurahi
kupendwa na wewe
ndomana…

(hook)
nimekuchagua wewe
uwe w_ngu, uuuh
w_ngu wa maisha, wakufa na kuzikana
usijali maneno wasemayo, ooh
w_ngu wa maisha, wakufa na kuzikana

(outro)
yoyo, yoyoyoo
aaaah, ayaaa
kapaso apa g_nius
from tanzania… beberu!

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...