kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kanjii mbugua - kama si we كلمات أغنية

Loading...

kanjii (opening):

kutoka zile studio za pambio worship music
tumekuja k_msifu bwana
eyyy… basi sifu bwana

kanjii (verse 1):

baraka zishuke kama chomba, zikuangukie
neema yake izdii kukuongoza, usiaibike
dunia hii ikikuchokoza k_mbuka yesu anaona
uki_feel unaogopa, wacha akupiganie

chorus:

kama si we baba, ningekuwa wapi leo?
kama si we baba, nisingekuwa hapa leo!
naona ni we baba, aaah ah!
najua ni we baba, aaah ah!

kanjii (verse 2):

majaribu ni kwa muda, mwishowe uta shinda
hata unapo lemewa, k_mbuka ulikotoka
bwana hatakuangusha, yeye ni mwamba imara
ukijipata kwenye noma, ye atakuokoa
chorus:

kama si we baba, ningekuwa wapi leo?
kama si we baba, nisingekuwa hapa leo!
naona ni we baba, aaah ah!
najua ni we baba, aaah ah!

(free_form chorus)

kama si we baba, ningekuwa wapi leo?
kama si we baba, nisingekuwa hapa lеo!
naona ni we baba, aaah ah!
najua ni we baba, aaah ah!

[kanjii and pambio worship just vibing]

kanjii (bridge):

wеma wake mungu baba, uzidii kuku fuata
wema wake mungu baba, uzidii kuku fuata
kuku fuata x4

uendapo urudipo, we utabarikiwa
wale walio kucheka, wote wata shuhudia
utaimba “hallelujah”! pale chini ya mwamba
utaimba “hallelujah”! pale chini ya mwamba!
closing chorus:

kama si we baba, ningekuwa wapi leo?
kama si we baba, nisingekuwa hapa leo!
naona ni we baba, aaah ah!
najua ni we baba, aaah ah!

kama si we baba, ningekuwa wapi leo?
kama si we baba, nisingekuwa hapa leo!
naona ni we baba, aaah ah!
najua ni we baba, aaah ah!

kama si we baba, ningekuwa wapi leo?
kama si we baba, nisingekuwa hapa leo!
naona ni we baba, aaah ah! (na na na x5, naaa…)
najua ni we baba, aaah ah!

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...