kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kamaa - broken dreams كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
i’ve been holding myself trying to be strong
and not say the wrong things
’cause you already know how they get down
i’m 61 years old… (sikiza ukweli, yeah)
i’ve seen it, i’ve mirrored it
i’ve heard it (kamaa)
now you see exactly what these motherf-ckers think about us

[verse 1]
niko for ukombozi wa mtu mweusi dunia kote
pan africanist kwenye vita na white supremacy
ambia wote, tumjue adui
hata kama anavaa ngozi ya kondoo, tumjue chui
i and i tutambue vile fbi walivuruga mpango wa huey
aibu kusikia marcus garvey hawamtambui
elite namibia wakipumbaza kama hawamjui
uhuru haiji ila kwa ncha ya upanga
kama hujui unapata picha, ukajipanga
ukanunua shamba
while these n-ggas don’t want a nation
too busy crawling back to the plantations
black excellence ama ni white validation
crying eti hakuna mtu mweusi ndani ya oscars nomination
kuongea kiingereza haionyeshi level ya education
kuvaa rubega haina tofauti na suti kwenye hii profession
hii ni liberation

[hook]
in mississippi, we need a mau mau
in alabama, we need a mau mau
in georgia, we need a mau mau
right here in harlem and new york city
we need a mau mau

[bridge]
hatuchezi na watu
inakuja hivi mzeiya
kamaa, githingithia, ukoo flani mau mau
nje producer, broken dreams…

[verse 2]
kambi niko hadi kifo
kama mdigo kaya, bombo skiza mwito
wa huyu mzito, bantu biko
price ya kimbo
enda koinange ka unataka kujua price ya kiino
ka unaogopa kuungua ondokea jiko
ongea nikiwa siko, kama niko ondokea rebel
mwanzo, mwisho
kila reason na season, nilikuwa on a mission
kufanya mambo, kufuata malcolm vision
kujaribu kubadilisha condition za people
watu, people wanadai, “kamaa huonekani”
nawaambia wawashe taa
kama wanadhani bado nakunywa pombe mitaani
mimi kinaweza nifanya niondokee fani
pengine tuongee uzazi, baba njambi
game imeplantiwa ndani ya dna ndani
hata niondoke miaka mingapi
githingithia narudi ni ka sijatoka mbali
githingithia ni mzazi

[interlude]
but that was some straight up bullsh-t
and they’re going to keep on k!lling us
as long as we sit down and just take it
and it’s going to be you one day!

[hook]
in mississippi, we need a mau mau
in alabama, we need a mau mau
in georgia, we need a mau mau
right here in harlem and new york city
we need a mau mau

[interlude: valerie castille (sample)]
you shouldn’t be no police officer
if you’re gon’ carry yourself in that manner
do what you do
’cause this sh-t gon’ keep on happening
and it’s gonna be you one day!
in this f-cked up [?]
with six children murdered by the motherf-cking police
i don’t give no f-ck, maan!
y’alls just don’t know how a sister feeling right now
if i had it my way, it’s on in crack!
f-ck that sh-t! i’m sick of this sh-t…
y’all been k!lling motherf-ckers all these years

[hook]
in mississippi, we need a mau mau
in alabama, we need a mau mau
in georgia, we need a mau mau
right here in harlem and new york city
we need a mau mau

[outro]
woman held her head and cried
akalia kilio ambao hatungeelewa
kama hatungekuwa mama ya philando castile
mama yake trayvon martin na baba yake
vijana wote wamemangwa na mambang’a
from the beginning of time
kkk wame-camouflage na uniform za polisi
ni lazima tuelewe
ni wapi tunatoka na wapi tunaenda
ndio tutajua kule tutafika
vile malcolm alisema, ndio mskize
in dandora, we need a mau mau
in kariobangi, we need a mau mau

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...