kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kama m - mama كلمات الأغنية

Loading...

i sing for your mama
i love you mama
(mama mama)

i love you mama
(mama mama)
maneno yako na busara zinazunguka
kichwani mw_ngu popote nilipo upo mama
unasema na moyo w_ngu

kwenye mazito na magumu husia wako
ndo ngao yangu upendi nikijilaumu
nikipatacho ndo fungu langu
ulisema mama narudi utoto
ohhh
moyo unaniwaka moto
jinsi ulivyonihandle usiku haulali
ooohh
vihohoma baridi kali
ukanilinda kama mboni yangu

hata kama nikisema labda nikushukuru
(mama mama)
pesa na mavog bàdo
(mama mama)
hata nijenge nyumba mithili ya ikulu
(mama mama)
kufika upendo wako bàdo

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...