kalimani feat. jasmine - amka كلمات الأغنية
(kalimani)
ilibidi isolation nijue nini muhimu kwa life/
k_mbe chips ni viazi cha muhimu ni wife/
daily drink si lazima, una’eza sacrifice/
hata mazishi upime watu plus hesabu za rice/
tena nika_realize si kila mtu ni wise/
ana’eza fuata epl na hawezi fuata advice/
asote ju ya eabl na hawezi hata sanitize/
ni kama siku ya ku_die terms and conditions apply/
bana! aki walai, wazimu ni nani?/
ni ka the more wanavyosoma ndo wanachizi kindani/
eti wafwasi ndio kondoo k_mbe mafisi kiplani/
ukidai kujisitiri ndio risiti huvanish/
k_mbe ni vanity imejaa kwa humanity/
kujifanya middle class hadi ukatwe ki_salary/
binadamu ndio _n_leta story za inequality/
na ukicheki tu visawa si sote tuko sawa//
(vivianne jasmine)
changamka… inabidi tuchangamke…/
inabidi kuchangamka… inabidi kuchangamkaa…/
changamka… inabidi kuchangamka…/
inabidi kuchangamka… inabidi kuchangamkaa…/
(kalimani)
ilibidi isolation nijue k_mbe siasa haidai/
chunga jirani yako pia ndio ye mwenyewe akufae/
k_mbe kampuni za kikenya ziko na manufaa/
yule unadhani ataishi ana’eza kua akufae/
(walai) si lazima tujazane kwa ndae/
una’eza fika tu vipoa muhimu uko alive/
mi naomba, tutaimada hii corona/
kusonga, na we mwenyewe utaona/
ma_biz zitarudi bila shaka huko gikomba/
walami watakuja tutavuna hizo ma_dollar/
madonda hawatakonda, mjei watabonda/
vinyozi na saloon bado watapaka poda/
nairobi, mombasa, kisumu… na ocha/
kwa dua za maulana bado si tuko pamoja/
changamka, inadai kuchangamka/
kila kitu tunaweza bora tu tumeamka//
(vivian jasmine)
maisha yamebadilika/
natamani tutakuja shinda/
j_po kuna pandashuka/
bado tutakuja shika/
sa inabidi kukaa mtaa/
na mikono kusafisha/
kama tumechangamka/
hili janga litakuja isha/
changamka… inabidi tuchangamke…/
inabidi kuchangamka… inabidi kuchangamkaa…/
changamka… inabidi kuchangamka…/
inabidi kuchangamka… inabidi kuchangamkaa…/
hili jangaa…
hili jangaa…
hili jangaa…
hili janga lita die, hili janga lita die..
كلمات أغنية عشوائية
- nazaar & louiejayxx - shadows (doil remix) كلمات الأغنية
- verónica castro - sinceridad كلمات الأغنية
- alexz johnson - mad world كلمات الأغنية
- jasontheweenie - you كلمات الأغنية
- темний брил (temny bril) - промо (promo) كلمات الأغنية
- vargsheim - svartnatt كلمات الأغنية
- vivoree - matapang كلمات الأغنية
- los and nutty - 2 v 2 كلمات الأغنية
- koni bello - da bidness كلمات الأغنية
- apple music - playboi carti essentials كلمات الأغنية