
kadason - wa kwangu كلمات أغنية
yeah eh
ihh
baghosha
(jini ex double 6)
sitamani wanishushe hili penzi lifike
tufe wote tuzikwe walimwengu mtupishe
nitakuwa nduli iddi amin kwa penzi lako
iwe nchi kavu baharini nitakuwa mboni yako
nashukuru nimekupata
tunavyopendana ni kama mapacha
nashukuru nimekupata
tunavyopendana ni kama mapacha
(uh uh huu)
maana huyu (wa kw_ngu pekee yangu)
ah haina kushea (wa kw_ngu pekee yangu) uh
nimejipata kwake (wa kw_ngu pekee yangu) ah
maana huyu (wa kw_ngu pekee yangu)
my we my wewe my wewe
my wewe wa pekee yangu
peke yangu
nimeshacheza sana ndondo
ndondo mipira ya peku
ila we pekee ndo uliogundua kipaji changu
nimeliweka la kwako moyoni
mpaka kinywani siishi kulitaja
umenifanya nipende kiundani
wanipeleka mbali nikibanwa haja
nashukuru nimekupata
tunavyopendana ni kama mapacha
nashukuru nimekupata
tunavyopendana ni kama mapacha
(uh uh huu)
maana huyu (wa kw_ngu pekee yangu)
ah haina kushea (wa kw_ngu pekee yangu)
uh nimejipata kwake (wa kw_ngu pekee yangu) ah
maana huyu (wa kw_ngu pekee yangu)
my we my wewe my wewe
ah aah aah
music
كلمات أغنية عشوائية
- sweet talk radio - rosemarie كلمات أغنية
- don broco - anaheim كلمات أغنية
- magma (mar) - makhzen كلمات أغنية
- ritt momney - screwtape كلمات أغنية
- derivakat - finally find you كلمات أغنية
- iamdecember - work كلمات أغنية
- yjo & t900 - my land كلمات أغنية
- eva cassidy - oh, had i a golden thread (live at blues alley) [2021 master] كلمات أغنية
- that kid - jealous كلمات أغنية
- çubuklu yaşar - gazla dolmuşcum كلمات أغنية