k-south (ke) - warui كلمات الأغنية
[intro: bamboo]
the one and only k-south
kwenye microphone, yeah
it’s how it’s going down now
[hook (with intro)]
‘si ni warui, kwani hujui?
tunawaroga na wakamba wa kitui
‘si ni warui, kwani hujui?
tunawaroga na wakamba wa kitui
[verse 1: bamboo]
maisha huw-nga mafupi kama chupi
pesa tafuta zako, zangu sikupi
leo mi ni beshte, kesho hunik-mbuki
mwataka mpaka nguo nimeng’ara nibaki uchi, mnaniudhi
wadhani nimezaliwa juzi na usidhubutu kututusi upuzi
juu si huchinja mdhii kama mbuzi
huskii afike hosi ashonwe uzi
haikosi hawezi sosi akunywe uji
na yote ni mateso bure bila machuki
mi bila mic ni ka karao bila bunduki
bila doo ni kama florida bila ma-cutie
bila ma-hoochie wa kukinda ma-coochie
mavazi ya kutangaza dash na booty
na kazi kutoanisha cash kwa suti
na basi wacha niwape verse kafupi
ka-nasty lakini safi ka sabuni na maji
ama niaje? ama niwache?
ama niwakamate tu na maneno chache?
na hakika nikisikika, munashikika
vita nimekupita na decker sita
wika ni kama ni shida imekushika
wajinga waliuawa, mali yao tuligawa
mpaka tukawa tuko sawa
tukiwa wagonjwa, pia miti ni dawa
unameza asubuhi ukisha-shower
ama ni makwapa umenawa
yawa, niaje na akina hawa?
[interlude]
this the best you can do?
no new style?
beyaaatch!
[hook]
‘si ni warui, kwani hujui?
tunawaroga na wakamba wa kitui
‘si ni warui, kwani hujui?
tunawaroga na wakamba wa kitui
[verse 2: abbas kubaff]
doobiez!
dawa ya kunuka basi ni kushawa makwapa, mgongo na mwili kila mara
jah-jah asante sana, baada ya sala ni kahawa
bila sukari, lakini sawa angalawa
mi nitahama ingawa hakuna stima
ni kenya power wanaigawagawa na gava ki-undercover
na hawa wengine maji wanamwaga
na wanajuanga tu vile huku mambo huw-nga
manager mwenye njaa matumbo zimejaajaa
chokora ni ubao zao hawajamanga
majamaa hata kama mnasemanga wao huwasanyanga
ndio ukimpita kwa ubaro unamkanyanga
akikuomba paundi we humpatianga
za ngata juu glue humpandisianga
na zikimbamba si atakuhanda
na mapanga za kuchanja nyasi kiwanja
iwe ni story ya matanga langata
ma-pastor na maua kando zishapangwa
pesa, pesa kuchangwa
ili mchanga irudi mchanga, mashambani
yaani ka wewe ni mshamba
[interlude]
this the best you can do?
no new style?
beyaaatch!
[hook]
si ni warui, kwani hujui?
tunawaroga na wakamba wa kitui
si ni warui, kwani hujui?
tunawaroga na wakamba wa kitui
[verse 3: bamboo]
pia stima, wameamua kutupima
inakaa wako karibu kutunyima
mi nimechoka na suk-ma wiki na sima
niliambiwa pesa hupakuliwa, k-mbe watu wa kupakulia walishambuliwa
ma p3 pia nazo waliandikiwa
hakuna sukari lakini kuna miwa
wacha tuchinje ng’ombe tukunywe maziwa, si ndio mheshimiwa?
[interlude]
this the best you can do?
no new style?
beyaaatch!
[hook] x2
‘si ni warui, kwani hujui?
tunawaroga na wakamba wa kitui
‘si ni warui, kwani hujui?
tunawaroga na wakamba wa kitui
‘si ni warui, kwani hujui?
tunawaroga na wakamba wa kitui
‘si ni warui, kwani hujui?
tunawaroga na wakamba wa kitui
كلمات أغنية عشوائية
- אייל גולן - al nevakesh - אל נבקש - eyal golan كلمات الأغنية
- foking & milo j - mi último peso كلمات الأغنية
- gina de bosschere - look at me (remastered) كلمات الأغنية
- кирпичи (kirpichi) - в гробу (in a coffin) كلمات الأغنية
- babytron - ex كلمات الأغنية
- french montana, rick ross & lil wayne - splash brothers (acapella) كلمات الأغنية
- mspikxryx - fluffycatlover! كلمات الأغنية
- телевизор (televizor) - глупая (silly song) كلمات الأغنية
- ricky jamaraz - torture كلمات الأغنية
- nb_91 - illusion كلمات الأغنية