
k son rap - wanapenda (ft. bundi skrt) كلمات أغنية
wanasema wanapenda nikirap../wanapenda kuskia kwenye interviews nikichana capella mbona fresh tu../siongei sana kama chiriku..kirikuu..kila siku tuna party kama sikukuu../scoobydo..wapenda kuniskia kwenye radio stereo../ wanapenda kuniona kwenye video..wanapenda navyoflow..kama chid go..chid soo mad flow.. kad go../wanapenda penda navyo score..kwenye stage kwenye show..wanapenda nikipewa ata collabo../mpaka majogoo yani kama dingo jungle..watu w_ngu wanapenda navyo shine wananipa tu michongo../wanao hate sina hata kinyongo..mkinibana fan’s wataandamana na mabango..yote nisababu ya mapendo../
wanapenda navyospit..wanapenda navyonata juu ya beat../kama nyani juu ya miti..wanapenda harakati..wote tunapenda haki../naipenda africa..naipenda ngozi nilivyo black../i do it for the love kama pac..hatua kama nyati../nawapenda mashabiki..naipenda hiphop inapendwa rais../huu upendo ni wadhani bila chuki..paparazzi wananapenda info zangu kila siku kwenye front page../wanapenda kuniona kwenye stage..only god can judge../wanapenda na vyoswitch kilasiku naji upgrade../
كلمات أغنية عشوائية
- dear nora - come on inside كلمات أغنية
- deeksha jain - naughty كلمات أغنية
- maryen - всё хорошо (everything is fine) كلمات أغنية
- jakprogresso - heaven's gate blankets كلمات أغنية
- wildkarduno - kaveman 5 كلمات أغنية
- qtae - ur my tofu كلمات أغنية
- triplego - oubliez-moi كلمات أغنية
- cafuné - perspective كلمات أغنية
- dhurata dora - danca كلمات أغنية
- estereotypo - no sé qué será كلمات أغنية