
k son rap - nitavuka kila boda كلمات أغنية
nitavuka kila boda..hata wakiloga wakiw_nga wakikesha kwa waganga..nitaumiza sana ndonga..sitoskiliza wakibonga..wanataka niwemteja..nivute sana poda..nisifanye hata inada..nisipate hata msaada..ndoa ivunjike michepuko na vimada..maumivu kilasiku ya vidonda mawazo wafurai kuona nimekonda..nyumba yangu buibui wametanda..nisiwe na kijiko mwiko wala kitanda..wanadhani nitasanda wanadhani nitashuka ndo n_z_di tu kupanda..wanafurai kuona nimepanga similiki hata kibanda..hawajui kigamboni ninashamba..nilime nisivune hata matunda mboga mboga..wanisaliti kama yuda..nipige bunda..nirudi bongo makimuga..nisifanye show…mtwara labda chuga..nginja nginja kama duga..wadau wahisi napoteza muda..wakiwekeza wahisi wanapoteza sana fuba..nikonde kama kinya makondeni..madeni..usawa unikabe makendeni nihamie mabondeni nipotee kwa upepo mafuriko au dhoruba..
كلمات أغنية عشوائية
- c.shreve the professor - flight crew كلمات أغنية
- la conección real - adelante كلمات أغنية
- prinz - égérie كلمات أغنية
- gaslight - nicotina كلمات أغنية
- extermination dismemberment - human holocaust كلمات أغنية
- cousteaux - memory is a weapon كلمات أغنية
- out out - flinch كلمات أغنية
- g wylx - wanna you / big thang كلمات أغنية
- hate (fuckthishate) - novel كلمات أغنية
- zbeer - kumple كلمات أغنية