
k son rap - ndoto ya mchana كلمات أغنية
[intro]
yeah ksonrap
this one right here is for the people
yeah, let’s go
[verse]
ajira hakuna tunasuk_ma mikokoteni../wanasiasa baada ya kampeni wameingia tu mitini../bila hata kandili wametuacha tu gizani../kila kitu wametupiga pini wanasingizia vita vya ukreini/vitu vinapanda bei madukani..nachokisema nikweli wala sio utani../mfanya biashara wan_z_funga tu mizani../shekhe msikitini anakosa hela yakununua hata ubani../hakuna anaetoa sadaka kanisani hatuna hata mbuni../hakuna madawati watoto wanakaa chini mashuleni../sare zao zimetoboka matakoni../wabunge wao wanasinzia tu bungeni..wametuacha kwenye mataa hali duni../wanaishi zao tu mijini tuvyoishi ni kama mateka tu vitani../hakuna madawa hospitalini majisafi hayatoki mabombani../wanapitisha tu kokeni mateja wan_z_di tu kujaa uswahilini../hadi lini? magendo yanapita tu bandarini../hatupo hata makini wanasafirisha makinikia watuambia sio madini../nyie kopeni siegii anatuambia yanaongezeka tu madeni../watetezi wote wapojela wanakesi za uhaini../waliponea chupuchupu walikimbilia uhamishoni../
كلمات أغنية عشوائية
- britexx - loucos كلمات أغنية
- jantje van overeem - money كلمات أغنية
- manny ross - el compromiso كلمات أغنية
- kyle allen music - encryption كلمات أغنية
- mozaik (turkey) - bir bisiklet gezintisi كلمات أغنية
- pastor zaster - surfin' el cotillo كلمات أغنية
- generation kill - friendly fire كلمات أغنية
- braxton knight - heavy heart | tokyo revengers كلمات أغنية
- boratwent2 - 365 كلمات أغنية
- jack out - sempre più soli كلمات أغنية