k son rap - mrudisheni كلمات الأغنية
back to westside kama ziziy..country wizzy mtu chee..tumchukue darasa tumrudishe darasani..duke tachez turudishe kilingeni msasani..tamaduni..juma nature tumrudishe kwa majani..siku nzuri inavyokwenda kama dani..tumrudishe jos mtambo kiģamboni..rudisha wakali kwanza..
fid tumrudishe mwanza mwanza..mbona kimya rudisheni tht tumuenzi ruge..pigeni zeze tumrudishe tid..huwa nalia nikimskiliza mez b..madee tip top mrudisheni pnc..kwenye stage mrudishe jaydee..wadau mrudisheni marck d..j_po yupo busy..wateule mrudisheni jafarai mwambieni dully nampa hi! rudisheni mapanga tmk..mik_mi mrudisheni tena jay..mbeya mrudisheni may..chonde chonde mrudisheni tena jongwe..roma mrudisheni tеna tongwe..inspector turudishe tеna gangwe..uswahilini tumrudishe suma g..kwenye mic mrudisheni ziggydee..mnyalu mrudisheni mike tee..mjamaa mrudisheni buff g..mrudisheni sister p..hardblaster tumrudishe tena teri fananii..mkiwarudisha watu pori warudisheni wagosi kala pina msisahau ana kikosi mrudisheni ramadee..mrudisheni sinza star mansulii..moto wa tipa mrudisheni zola dee..in the area warudisheni tkz..b hits mrudisheni hammy b,mrudisheni na zay b..rest in peace sawahiba w_ngu jebby..warawara da hustler mrudisheni na lodii..umbwa mzee mrudisheni na jombii ukiskia pa ujue ni jcb
كلمات أغنية عشوائية
- sam wesley - overthinking كلمات الأغنية
- teep (tp) - york كلمات الأغنية
- czarface - nu mutantes كلمات الأغنية
- sleeping at last - mother كلمات الأغنية
- loco escrito - mi casa كلمات الأغنية
- serotone - urbanist sessions #011 كلمات الأغنية
- curtiss maldoon - ah it's a feeling كلمات الأغنية
- avians alight - to be me كلمات الأغنية
- no:el - dreams كلمات الأغنية
- nest of plagues - struggle كلمات الأغنية