k son rap - moto كلمات الأغنية
panapof_ka moshi kuna moto../ukich0m_a betri..kinachofata jua ni moto../ukija pekupeku kama mpoto..utaukanyaga moto..hatari weka mbali na watoto..kimewaka piga simu zimamoto../sijui simba sijui tembo..wote wanauogopa huu moto../dingi amekimbia majuk_mu changamoto..nyashinki koloo khaligraph kaa la moto../nikiwasha hakuna wakuzima huu moto..za mwizi zikifika akishikwa jua ni moto../madini yanapita kwenye moto..chuma hufua chuma kwenye moto../tenda dhambi kwa shetani kuna moto..moto juu moto..nikiwa booth kwenye spiker utachoskia tu moto../nikirudi home mama watoto hunipika vitu moto moto nikimaliza kinachofata tu moto../nikiwa bar nimechill nimegiza ya baridi moja moto../wakavamia majambazi wenye chamoto wakapiga sana risasi zenye moto../
كلمات أغنية عشوائية
- limitz - 16 bars sample كلمات الأغنية
- young-mo - heart of the city كلمات الأغنية
- ludacris - i ain't the one كلمات الأغنية
- thomas fiss - i'll never let you sleep alone كلمات الأغنية
- o.s.t.r. & hades - psychologia tłumu كلمات الأغنية
- hooks amero - skinny jeans كلمات الأغنية
- bourbon boys - moonshine boulevard كلمات الأغنية
- royce da 5'9'' - the most interesting man كلمات الأغنية
- municipal waste - rum for your life كلمات الأغنية
- erin - kakkukahvit كلمات الأغنية