k son rap - mitambao كلمات الأغنية
natambaa mitambao wanashangaa mshangao..shauri zao..sina story nao..nakanyaga kama simba babalao..kipenz cha warembo..dada zao..nishapiga sana bao..sina skendo wala sina mpango nao..natambaa mitambao..nipo juu zaidi yao..wamebaki na roho mbaya zao..na bado tunaishi nao..nipogado..king in the jungle..nenga sina jambo..nastream bila bando..mi naishinao kwa upendo..dhidi ya maneno ni vitendo..dili za magendo..michongo
magari na mijengo..mitambao napita kilachocho..nishapita kwenye msoto..maghetto..nimeng’atwa viroboto..mpaka coco kwenye freestyle battle..mchafu kama dampo..nipo mbele kama intro..nakula gull time..nakula vitu kwenye kiko..nyama kwenye jiko..
madikodiko mitambao mpaka yan kokoriko..kwenye radio hii ndo jingo..wakizingua napiga chini kama window..natambaa na mitambao..mawio na machweo..nishapita sana kwenye anga zao…
east cost amazingu amazao..kwenye hii mitambao..habari zangu watazipata ..kwenye mitandao..
كلمات أغنية عشوائية
- justin peeney - form over function كلمات الأغنية
- david0mario - one more nininight كلمات الأغنية
- pirlo - finco كلمات الأغنية
- virtoloo - via bluetooth كلمات الأغنية
- jacopo ratini - mi sono innamorato del tuo nome, purtroppo كلمات الأغنية
- rxse_trac6 - love n you كلمات الأغنية
- diet lemon - ready كلمات الأغنية
- ntnka - soul voice كلمات الأغنية
- suellen & francielly - pombinha mensageira كلمات الأغنية
- the pocket queen - we came to move كلمات الأغنية