k son rap - mitaa nayotokea كلمات الأغنية
[intro]
where the street life y’all at?
ha, ha
yeah, let’s go
mitaa nayotokea..
tumezaliwa uswazi sogodo ndani ndani hakuna familia inayojua uzazi wampango nyota ya kijani..mateja wamejaa chimpumu gongo na komoni..saa saba mchana huwezi kukatiza uchochoroni..mangi ukijitusu watu wanakula mtaji unarudi kwenu kibororoni..hakuna maendeleo utasema enzi za mkoloni..hakuna cha mswalie mtume huku wala msaada kwenye tuta..dingi na mtoto wote tu mapusha..watu w_n_loga iba hata ndala tu wakutoe tu mabusha..kipo huku cha mtema kuni kila godoro linakunguni..kila mtoto ameshapinda akuna anaecheki cartoon..ni magheto ya wahuni hakuna anafata kanuni..passport size hakuna anaekwenda bafuni..wote ni marasta wana vuta tu maganja hakuna anaekwenda saloon..hakuna aliestaharabika kama unakinyaa unaweza ukatapika..hakuna hata taa muda wote umeme umekatika..patashika ukikamatwa na polisi hakuna wakukuwekea dhamana..madogo shule wamebana..ukifanya kosa unapigwa kama mwizi..njia panda watu wanavunja n_z_ mchana hakuna hata hajizi..wazee wakutoa kafara wamezivaa irizi..kama sio ndondocha mlangoni wameweka chizi..
كلمات أغنية عشوائية
- oliver qwyn - windowpane كلمات الأغنية
- 04sam - my lil poley (summrs lightshow remix) كلمات الأغنية
- drevm11 - au-revoir كلمات الأغنية
- grifdorf - stars ain't far كلمات الأغنية
- costalumni - v2infini كلمات الأغنية
- matt taylor (irl) - godspeed كلمات الأغنية
- triksi - nemam mira كلمات الأغنية
- trip lee - gave it up كلمات الأغنية
- louis chedid - les horreurs du musée des horreurs كلمات الأغنية
- gucci mane - shake dat ass كلمات الأغنية