kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

k. martin - kujituma كلمات الأغنية

Loading...

hook : k. martin

keja imesukwa,dame anajipa mi nkukuta(mi nkukuta)
hakuna kudose ni kukafunga kama matuta(kama matuta)
nasaka maweng(nasaka maweng), nasaka mayen(nasaka mayen)
nataka mavitu(nataka mavitu), sitaki kakitu(sitaki kakitu)(aye yaah) x 2
ni kujituma(ni kujituma), ni kujituma(ni kujituma) x 2
hujajituma?(hujajituma?) , hujajituma?(hujajituma?) x 2

verse 1 : k. martin

bank cheque(cheque)
pay cheque(cheque)
no rest(rest)
fast pace(pace)
niko kwa radar kama ni safi
mi ni kucheza nawakimbiza
kwenye maheadi kwenye mariz
kama ni pongis ni juu ya meza
juu ya ketepa(juu ya ketepa) ulimi inasepa(ulimi inasepa)
ka ni kuteka(ka ni kuteka) ni kama ameweza(kama ameweza)
steps kibao,niko kalesa
nikiwakunywa ni bila chaser
siwezi ngoja,kamagera
niko busy na niko wera

hook : k. martin

(keja imesukwa,dame anajipa mi nkukuta
hakuna kudose ni kukafunga kama matuta
nasaka maweng,nasaka mayen
nataka mavitu,sitaki kakitu) x 2
ni kujituma,ni kujituma x 2
hujajituma?,hujajituma? x 2

verse 2 : yobra fafee

mi najituma!!
nasaka izi hela
namada izi beats
nikiuza izi vela
siogopi jela
ntashika adi trella
nifanye biiiz
nisupply mangwai wakidai na riiiiz
uscome kuomba doh na haujitumi pliiiiz
nairobi ni ngumu
ukicheza unaponwa adi ganji na njumu
mi najituma nisonge mbele
mi najituma nipate doh, nipee msupa ganji ashukwe nyewele
mi najituma niomoke nduki mkijenga chuki
niko out kwa streets nime carry bunduki
nahustle
mi najituma nipate doh
nihame ghettoo
for once nipanguze aka kajasho

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...