k-hood hoodboy(k-hood $inza) - champion كلمات الأغنية
[intro:k-hood hoodboy]
its good idea to plan for your future all good boys and cute ladies in the hood you know
for real nothing ever happens emax better take your chance when it is now
and when you strong inside you shine outside believe me snitches
emax amini we ni champion
na me am the champion
[chorus:chelsea davis (k-hood hoodboy)]
am going hard tonight
(go hard tonight y’all)
am winning the fight
(winning the fight y’all)
cause i am a champion champion
(uuuuuwiiiiiiiiii)
[verse1:k-hood hoodboy]
sema go hard go hard aim higher
na sichaguagi kazi sioni haya
utatimiza ndoto zako au malengo yako
as long as tu we ufanye yako
unaweza kuwa kama sista lupita nyong’o
unaweza kuwa kama desmond tutu
unaweza kuwa kama moringe sokoine
champions wa africa ni mwalimu nyerere
na mandela
kijana tafuta hela
piga mishe mishe mjini dar ili upate kula
na heshima itakuja tu baada ya mpunga
yani baada ya kujituma sirudi nyuma
mama kanambia
“kijana w-ngu sikia
kidogo unachopata tunza kitakusaidia
pili kuwa na heshima
tatu usidharau
kwa sababu champion huwa hajisahau”
[chorus:chelsea davis (k-hood hoodboy) ]
[verse2:k-hood hoodboy]
mungu akupe nini? kakupa kila kitu
akili uwezo nguvu pia utashi na utajiri
kwa nini usipige kazi?
au kisa umepewa gari?
na momy au daddy ndo ulete jeuri!
am a champion kama filbert bayi
am a champion kama mzee uhuru kenyata
am a champion kama w-ngari mathai
na sirudi nyuma limit be the sky
oliver mtukudzi sign of a champion
na lady jaydee commando queen champion
malengo yanatimia ni kujituma na kuamini
kwani bila yeye hufiki mbali baba wa mbinguni
ishi maisha yako upuuzi usiuentertain
kuna wajinga wametumwa kutushusha chini
na amini usiamini tutabaki juu
kwani hakuna kinachoshindikana kwake ye aliyejuu
[chorus:chelsea davis (k-hood hoodboy)]
[outro:k-hood hoodboy]
anybody can be a champion of his own you know
tunapambana tunapigana kwenye maisha tufike kwenye kilele
trust in yourself and believe in yourself you can do anything you want you know
know that “you are the champion”
[chorus:chelsea davis (k-hood hoodboy)]
كلمات أغنية عشوائية
- young martino, joyce santana & brray - onlyfans كلمات الأغنية
- concurt - right now كلمات الأغنية
- darshan raval - saari ki saari كلمات الأغنية
- karina tejeda - perdóname كلمات الأغنية
- kaç canım kalmış - surat oldu basamak كلمات الأغنية
- mitsuruggy - slang bang كلمات الأغنية
- ray stevens - sir thanks-a-lot كلمات الأغنية
- favien roses - blame me كلمات الأغنية
- lil cavz - sippin lego كلمات الأغنية
- don toliver remixed - no idea (crooked colours remix) كلمات الأغنية