
jux. - yeye كلمات أغنية
yeye yeye, yeye yeye
yeye yeye
yeye yeye, yeye yeye
yeye yeye
the way that you move unanitesa vibaya
kizungu zungu ndege umenikata bawa
nachoka kabisa kwa unavovifanya wowo woo
chochote usemacho mwenzako mi sawa (mi sawa)
kitu gani we nikupe
muda wote unik_mbuke
sio kesho unitupe
kuharibu nijifiche
uzuri wako baby we fire
ukiniacha nitadata nitakuwa vibaya
yeye yeye, yeye yeye
yeye yeye
yeye yeye, yeye yeye
yeye yeye
wamepita wengi sikatai
mama umenikoleza
unavyonipa sikinai ye ye ye
nilipo upo nafurahi
we ndo unanipendeza
wengine wote hawanifai yeye
mi nadhani
kifo ndo kitanitenganisha nawe
usiniadhibu mama
taratibu mama, yeah yeah
uzuri wako baby we fire
ukiniacha nitadata nitakuwa vibaya
yeye yeye, yeye yeye
yeye yeye
yeye yeye, yeye yeye
yeye yeye
كلمات أغنية عشوائية
- snayx - h.a.n.g كلمات أغنية
- foyone - bucle كلمات أغنية
- capo geezy - del rey killas كلمات أغنية
- $kullma$k - instincts كلمات أغنية
- playd3ad - silhouette كلمات أغنية
- c blu - crazy كلمات أغنية
- shtosmo - bubblegum كلمات أغنية
- 2can sam - dancin كلمات أغنية
- manafest - crawling كلمات أغنية
- olivia browse - lonelier than you كلمات أغنية