
jux. - umenikamata كلمات أغنية
nisikilize ninavyoimba (imba)
na pia navyopiga gitaa
naona watu wamependeza
nyuso zao zimejaa furaha (furaha,ahhh)
najua ujue leo hii
kitatokea nini
najua ujue leo hii
nitakuambia nini (nitakuambia nini,darling)
(chorus)
i do these for you (these for you)
i do these for you (these for you)(i do these for you)
i do these for you (i do these for you)
these for you (i do these for you)
i do these for you (i do these for you)
these for you
najua napenda kukuona wewe
ukiwa na furaha (ahhhh)
najua thamani na heshima yako
kweli unanifaa
umenikamata weee
umenikamata x 4
haki ya mungu wewe ni mzuri
you are so beautifull
na mungu kakujalia
huna chembe ya kiburi
wewe ni msafi wa roho
i dont wanna let you
go
i wanna marry you
girl and nothing comes between us
am gonna give you
my loving and make them
wanna be us
(chorus)
i do these for you (these for you)
i do these for you (these for you)(i do these for you)
i do these for you (i do these for you)
these for you (i do these for you)
i do these for you (i do these for you)
these for you
najua napenda kukuona wewe
ukiwa na furaha (ahhhh)
najua thamani na heshima yako
kweli unanifaa
umenikamata weee
umenikamata x 4
(bridge)
mamy namuomba mungu
akulinde (akulinde)
akutunze na watoto uniletee
wewe ni furaha yangu (yangu)
maisha yangu (ni wewe)
ni weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
najua napenda kukuona wewe
ukiwa na furaha (ahhhh)
najua thamani na heshima yako
kweli unanifaa
umenikamata wee
umenikamata x4
كلمات أغنية عشوائية
- busta rhymes - roman's revenge كلمات أغنية
- faithful in misfortune - strength which keeps us alive كلمات أغنية
- spires that in the sunset rise - the may ham كلمات أغنية
- jascha richter - too close to me كلمات أغنية
- alice nine - www كلمات أغنية
- anne murray - talk it over in the morning كلمات أغنية
- alice nine - kiss twice, kiss me deadly كلمات أغنية
- arkade - the morning of our lives كلمات أغنية
- the aphorist - apparition كلمات أغنية
- the aphorist - extrication كلمات أغنية