
jux. - sing for you كلمات أغنية
[verse 1 : jux]
jina lako sweat melody
mpka naandika verse
penzi lako limenipa uchizi ee
kukuacha sio wepes
pendo langu uk_mbate chanda
jua we ndo chaguo languu
ubavu wa kitanda
sema na moyo w_ngu
usije nipa kidonda uwe karibu yanguu
[pre chorus : jux]
chumbani kw_ngu nimejaza picha zako (mmh)
kila wimbo nalitaja jina lako (mmh)
ukiwa mbali nalimiss penzi lako (mmh)
nitachora tatoo niandike sifa zako
[chorus : jux]
baby nana (i sing for you eh)
sema ooh baby (i sing for you)
i gonna sing for you for you darling
(i sing for you eh)
sema sema ooh baby
(i sing for you eh)
i gonna sing for you ouhh
ooooh ooooh
[verse 2 : mbosso]
kama elimu ya mapenzi darasa la sana
nishamalizaa
somo lakuenzi kanifunza baba
sitakuumizaa
penzi niko kwa kibwenzi anaweza taga
kwa miujizaa
tumuombe mwenyezi kwa haba na haba
nadundulizaa
mpenzi mpenzi na leo nataka tena
mpenzi nipe mapenzi nilale huku nasema
ibilisi lanaa lanaa tusimkaribishe
tusijе gombana gombana tumfaidishe
[pre chorus : mbosso]
chumbani kw_ngu nimejaza picha zako (mmh)
na kila wimbo nalitaja jina lako (mmh)
ukiwa mbali nalimiss penzi lako (mmh)
na nitachora tatoo niandikе sifa zako
[chorus : mbosso]
baby wewe (i sing for you eeh)
naimba na wewe na wewe dear
(i sing for you eh)
milele milele (i sing for you eh)
oh oh baby chin baby
(i sing for you eh)
milele milele (i sing for you eh)
[outro]
ibilisi lanaa
lanaa tusimkaribishe
tusije gombana
gombana tumfaidishe
كلمات أغنية عشوائية
- marlene (bra) - estrela miúda كلمات أغنية
- baek ji young (백지영) - 단잠 (sweet sleep) كلمات أغنية
- naza - arizona (#station 2) كلمات أغنية
- half of a rainbow - this is not a time to fall in love كلمات أغنية
- najm - cielo كلمات أغنية
- 堀江由衣 (yui horie) - stay with me كلمات أغنية
- tierry - na planta كلمات أغنية
- yseek - necessity كلمات أغنية
- yothu yindi - our land كلمات أغنية
- lgn - intro (firmamento) كلمات أغنية