
jux. - simuachi كلمات أغنية
mmmh yeeah
nina kila sababu ya kuwa na yeye
kwake kichanga nabembelezwa na yeye
kwake ustaarabu, nini nipewe (eeh)
maana muda mrefu nimekuwa mwenyewe
sasa mapema
narudi nyumbani
vitu navikuta mezani
siri siri vya mtaani mwenzenu (kwa sasa)
mawe nipigeni
maneno nis_m_ni (oooh)
vikao vikaeni
huyu mtoto simuachi (simuachi)
mawe nipigeni (hata mniue)
maneno nis_m_ni (naridhika mie)
vikao vikaeni
huyu mtoto simuachi (heeh heeyah!)
oooh oooh oooh oooh
oooh oooh oooh oooh
wa nini, ung’adung’adu kuf_kuza mende
ya nini, kuwa waruwaru nikuumize uende
kwanini, niwe wa kuchovyachovya nikauingia mkenge
niamini, nawe usije pata bichwa ukaota mapembe
sababu wewe mzuri umepitiliza
penzi lako mi linaniliza
mawe nipigeni (nipigeni)
maneno nis_m_ni (oooooh)
vikao vikaeni
huyu mtoto simuachi (simuachi)
mawe nipigeni (hata mniue)
maneno nis_m_ni (yeeh yeeh yeeeh)
vikao vikaeni
huyu mtoto simuachi (eeh yaah!)
oooh oooh oooh oooh
oooh oooh oooh oooh (oooh oooh aaah aaah
كلمات أغنية عشوائية
- angélina nava - toxique كلمات أغنية
- evan (fra) - memories كلمات أغنية
- kennie - attention كلمات أغنية
- novalostworld - like a boss كلمات أغنية
- ronan keating - it’s only christmas (duet version) كلمات أغنية
- fresh ladouille - noir كلمات أغنية
- tweett - b порядке كلمات أغنية
- ross millet - faded كلمات أغنية
- freizer - diss on rappers كلمات أغنية
- fourth eye tribe - mntns كلمات أغنية