kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jux. - si mimi lyrics

[intro]
heyyyy yee
yeyi yeee

[verse 1]
eh nitazunguka dunia
nitangaze sifa zako, uzuri wako
siwezi fanya siri
wanibebeshe gunia
na zote dhambi zako, sumu yako
imetawala mwili

[pre_chorus]
si mimi
ni akili yangu
si mimi
ni moyo w_ngu
si mimi
ni mawazo yangu
si mimi
labda roho yangu

[chorus]
mimi bila we
mimi bila we
mimi bila we
si bora waniuwe
mimi bila we
mimi bila we
mimi bila we
si bora waniuwe
eeeehh
oooh
aaah

[verse 2 ]
we ndo daktari
mponya maradhi, yani kama zali
zali la mentali
nakupenda kweli
hilo liko wazi, jua ukinitupa
utaniachia simanzi

[pre_chorus]
si mimi
ni akili yangu
si mimi
ni moyo w_ngu
si mimi
ni mawazo yangu
si mimi
labda roho yangu

[chorus]
mimi bila we
mimi bila we
mimi bila we
si bora waniuwe
mimi bila we
mimi bila we
mimi bila we
si bora waniuwe

Random Lyrics

Hot Lyrics

Loading...