kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jux - nitasubiri كلمات الأغنية

Loading...

yey yeah
mmmh…

nakupenda baby
nakupenda wewe eh
ndani ya mtima w_ngu mamaa
uko we mwenyewe eh

niko mbali na we
siko radhi nikukose wewe
niko tayari wanipige mawe
nitasubiri niwe mimi nawe

ushanifanya niwe mental (mental)
hata chakula sikitamani
i wish ungekuwepo (epo)
tucheze cheze w_ngu wote mwandani

ushanifanya niwe mental (mental)
hata chakula sikitamani
i wish ungewepo baby eh

nitasubiri (yeah yeah), usilie mama nitakuona tena
mi nitasubiri, usikate tamaa, najua sio mapema
mi nitasubiri, usilie mama nitakuona tena
mi nitasubiri, usikate tamaa, najua sio mapema
mi nitasubirii

mapenzi, mapenzi, mapenzi, mapenzi, mapenzi mmh
mi nakosa amani, namwomba mola we urudi nyumbani (mama)
ufananishwe na nani, nimemiss ulivyonipa zamani
subira mola amenipa, siku ikifika mi kwa penzi lako

ushanifanya niwe mental (mental)
hata chakula sikitamani
i wish ungekuwepo (epo)
tucheze cheze w_ngu wote mwanani

ushanifanya niwe mental (mental)
hata chakula sikitamani
i wish ungekuwepo
eeeeeh…

nitasubiri, usilie mama nitakuona tena
mi nitasubiri, usikate tamaa, najua sio mapema
mi nitasubiri, usilie mama nitakuona tena
mi nitasubiri, usikate tamaa, najua sio mapema
nitasubirii

(hawa ah ah ah hawa) nakupenda wewe
ma baby (hawa ah ah aha hawa)
nitakupenda weweee (hawa ah ah ah hawa)
mamamaa (hawa ah ah ah hawa)
(hawa ah ah ah hawa)
yeeeey

nitasubiri, usilie mama nitakuona tena
mi nitasubiri, usikate tamaa, najua sio mapema
mi nitasubiri, usilie mama nitakuona tena
mi nitasubiri, usikate tamaa, najua sio mapema

mi nitasubiriii, nitakuona tena
mi nitasubiri, usikate tamaa, najua sio mapema
mi nitasubiri, usilie mama nitakuona tena
mi nitasubiri, usikate tamaa, najua sio mapema

mi nitasubirii

mi nitasubirii

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...