
jux. - lucky now كلمات أغنية
[verse 1 : jux]
najua ushaskia sana kama mapenzi yanauma
tena wengi walaghai wanaume sisi nomaa (nooo)
kuwa na amani kwa sababu uko na mimi sitopenda chozi lako weee
watu tumeumbwa wengi tofauti duniani
tamaa za mwili haziwezi fanya nikuache we njiani
kuwa na amani kwa sababu uko na mimi sitopenda chozi lako weee
[chorus : jux]
ulitaka amani you’re lucky now
ulitaka furaha you’re lucky now
ulitaka rafiki you’re lucky now
uliomba mpenzi i’m here for you
i’m here for you i’m here for you
ulitaka amani you’re lucky now
ulitaka furaha you’re lucky now
ulitaka rafiki you’re lucky now
uliomba mpenzi i’m here for you
i’m here for you i’m here for you
[verse 2 : bien]
wamekuvunja moyo wengi na vidonda havij_pona
na hupendi wasanii juu umechoka na sinema
watu hawafanani mi na wao kama night and day nitabaki hapa na wewe
amani amani moyoni amani tangu nkutie machoni
nlikuona ndotoni ni kama ndoto
you don’t have to worry uko na mimi
nitafuta chozi lako weee
[chorus : bien]
you looking for a king you’re lucky now
i’m looking for a queen i’m so lucky now
you’re looking for a friеnd you’re so lucky now
you’re looking for a song i’ll sing for you
i’ll sing for you i’ll sing for you
you’re looking for a king you’rе lucky now
i’m looking for a queen i’m so lucky now
you’re looking for a friend you’re so lucky now
you’re looking for a song i’ll sing for you
i’ll sing for you i’ll sing for you
[outro : jux & bien]
as long as i breathe i’ll be there
ntakuwepo kwenye shida na raha ntakuwepo
and i’m only one call away ntakuwepo
ntakuwepo na weee na weee
as long as i breathe i’ll be there
ntakuwepo kwenye shida na raha ntakuwepo
and i’m only one call away ntakuwepo
ntakuwepo na weee na weee
كلمات أغنية عشوائية
- volumia - dieper in de nacht كلمات أغنية
- volumia - de liefde wint كلمات أغنية
- eddy arnold - that wonderful mother of mine كلمات أغنية
- feat alonzo soprano - halloween (feat. alonzo) - soprano كلمات أغنية
- volumia - er is altijd een weg كلمات أغنية
- volumia - heb me lief كلمات أغنية
- volumia - eeuwig zou te kort zijn كلمات أغنية
- volumia - het is over كلمات أغنية
- volumia - hoe lang heb ik te leven كلمات أغنية
- volumia - ik hield al van je كلمات أغنية