
jux. - bado كلمات أغنية
[intro]
it’s bob manecky
aaah, aah
aaah, aah
[verse 1]
nak_mbuka sura yako
nak_mbuka jina lako
nak_mbuka tabasamu, uzuri wa pendo lako
siwezi kuusahau
ila naulaumu moyo, mmh
kukupenda too much
ndio kinacho niumiza, aah
najua mazoea yana maumivu
[pre_chorus]
nimetupa ndoano, ah_ah (lalala)
nimeambulia patupu (lalala)
inaniumiza bado
ila nita_move on bado, nitakusahau baby oh
oh, oh, oh
homa si homa, baby (lalala)
hata nikilewa pombe hainiingi (lalala)
naondoa stress bado ‘ile ki_komando
nami nitapendwa bado
bado, bado
[chorus]
baby, ‘we
nikipenda mtu
huwa napenda kweli na nabaki mtupu
nasahau mapenzi yana maumivu, oh
siachi tu
baby, ‘we
nikipenda mtu
huwa napenda kweli na nabaki mtupu
nasahau mapenzi yana maumivu, oh
siachi tu
[verse 2]
mmm, yeah
mapenzi kama maji, baby
usipo kunywa, utaoga
usitukane mamba, hujavuka mto ‘jahazi likazama
baby wewe
chungu kimoja (ah_ha)
wapishi ni wengi (ah_ha)
chakula kikiiva (ah_ha)
kinaliwa na wengi (ah_ah_aah)
baby, baby, baby
nitapata mwingine, aah
[pre_chorus]
nimetupa ndoano, ah_ah (lalala)
nimeambulia patupu (lalala)
inaniumiza bado
ila nita_move on bado, nitakusahau baby oh
oh, oh, oh
homa si homa, baby (lalala)
hata nikilewa pombe hainiingi (lalala)
naondoa stress bado ‘ile ki_komando
nami nitapendwa bado
bado, bado
post_chorus
baby, ‘we (baby)
nikipenda mtu (nikipenda)
huwa napenda kweli na nabaki mtupu (hey)
nasahau mapenzi yana maumivu, oh
siachi tu (siachi, mmm, siachi, yeah)
baby, ‘we (oh)
nikipenda mtu (mama)
huwa napenda kweli na nabaki mtupu
nasahau mapenzi yana maumivu
(ma…, yeah)
oh
siachi tu
siachi, siachi yeah
[outro]
siachi
siachi tu
mapenzi siachi
siachi
siachi
كلمات أغنية عشوائية
- inhavit - everytime كلمات أغنية
- odin - vandal hearts كلمات أغنية
- bright campa - famous كلمات أغنية
- jimmy from da block - merry christmas كلمات أغنية
- maad - closer to god كلمات أغنية
- eilen jewell - pages كلمات أغنية
- la tropa f - corazon herido كلمات أغنية
- dashboard confessional - the good fight - mtv unplugged version كلمات أغنية
- laura marano - dance like nobody's watching كلمات أغنية
- foghat - save your loving [for me] (45 version) كلمات أغنية