jovie jovv - dyana codds كلمات الأغنية
[intro]
ey eyyyyy
ey
let’s get it, let’s get it
[?]
[chorus]
gin na soda ka nmesota, keg kwa local
vile mabroski wanasonga, sjaiskia wamebreak hio bro code
feds wananshuku, ndio maana nlipatia hio kazi chokoch
sai iko soko, vile na kinda hio stoko
msee alinpigia phone akadai anataka kidrop
uzuri nliskia hio tone, k_mbe msee ni kicop
vile mabroski wanasaka hio pesa, i pray wa blessiwe na god
vile huyo ngeus anarusha hio haga, ungedhani ni dyana cods
[verse]
vile huyo ngeus anarusha hio haga, ungedhani ni ngwati
nlichapia huyo mbleina asare ufala, nlimshika hio shati
clientele wanajinice, vile hio mali ni safi
mali imetoka mbali, na siku hizi hazivukagi na gari
form ni mandege… mali imetoka ulaya
nlichapia mzae natrap, alidai nimefaya
nlisare makali, ilibidi nmerudi
sijai aminia msee anajifanya ako na ujuzi
[chorus]
gin na soda ka nmesota, keg kwa local
vile mabroski wanasonga, sjaiskia wamebreak hio bro code
feds wananshuku, ndio maana nlipatia hio kazi chokoch
sai iko soko, vile na kinda hio stoko
msee alinpigia phone akadai anataka kidrop
uzuri nliskia hio tone, k_mbe msee ni kicop
vile mabroski wanasaka hio pesa, i pray wa blessiwe na god
vile huyo ngeus anarusha hio haga, ungedhani ni dyana cods
كلمات أغنية عشوائية
- geno six - on go كلمات الأغنية
- fiordaliso - vado via da te كلمات الأغنية
- eli liberty - if كلمات الأغنية
- ca7riel - ola mina xd كلمات الأغنية
- you king - me hiciste mal (wrong spanish remix) كلمات الأغنية
- veust - 10€ de l'heure كلمات الأغنية
- allie x - dancing in the dark كلمات الأغنية
- jonny2wavy - kaifu (wait) كلمات الأغنية
- omar (dk) - slanger كلمات الأغنية
- buskyvg - lost interlude كلمات الأغنية