jovi'al - usiku moja كلمات الأغنية
mmhh vicky pondis
usiku mmoja nawe (the baddest)
usiku mmoja nawe, usiku mmoja
mi ndio gwiji
nasasambua tena bila kikomo
naifinyia kwa ndani naicheketua
mi napiga shift double decker
sina muda wa kudeka
mapenzi yashanipiga chenga
ukizengua mi nasepa
nataka usiku mmoja nawe
nipekeche hadi che
ila mapenzi nawe, oh aah
nataka usiku mmoja nawe
nipekeche hadi che
ila mapenzi nawe, oh aah
niko tepe kama chipsi zege
usiku moja nawe
nitembeze fimbo ya utembe
usiku moja nawe
niko tepe kama chipsi zege
usiku moja nawe
nitembeze fimbo ya utembe
usiku moja nawe
mi nataka usiku mmoja nawe, usiku mmoja nawe
aii we, usiku mmoja nawe, usiku mmoja nawe
mi nataka usiku moja nawe, usiku moja nawe
oh daddy o hey, usiku mmoja nawe, usiku mmoja nawe
mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua
mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua
mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua
mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua
wee, unataka kujaribu, jaribu vitu
usijaribu dry itakubadilisha
utafungua moyo mpaka madirisha
nakuona kwenye macho unajitamanisha
she came for one night stand
asubuhi amevaa langu apige stori za maisha
ameomba kuonja kanogewa kawa ruba
hataki kuondoka akiondoka anataka kuja
amezoea fegi kakutana na mjuba
kashamja msuba na mchanja buga
anawashwa na puna, natoa kila huduma
nafumua nafuma
maneno namung’unya mung’unya naguna guna
she wanna take a shower
kama kawa niko nyuma (mr burudani)
niko tepe kama chipsi zege
usiku moja nawe
nitembeze fimbo ya utembe
usiku moja nawe
niko tepe kama chipsi zege
usiku moja nawe
nitembeze fimbo ya utembe
usiku moja nawe
mi nataka usiku mmoja nawe, usiku mmoja nawe
aii we, usiku mmoja nawe, usiku mmoja nawe
mi nataka usiku moja nawe, usiku moja nawe
oh daddy o hey, usiku mmoja nawe, usiku mmoja nawe
mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua
mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua
mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua
mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua
sina muda wa kudate
nihonge tukaspend nikupige fusho bila band
nikubebe tucheze na kitete
hii ngoma sio ya uzembe
sina muda wa kudate
nihonge tukaspend nikupige fusho bila band
nikubebe tucheze na kitete
hii ngoma sio ya uzembe
(take 5 now…)
كلمات أغنية عشوائية
- acid king - war of the mind كلمات الأغنية
- kanye west - used to love u كلمات الأغنية
- shaun groves - need you more كلمات الأغنية
- let me out - mass murder conspiracy كلمات الأغنية
- adrenalin o d - the nice song كلمات الأغنية
- spitfire - marasmus كلمات الأغنية
- kelly family - break the walls كلمات الأغنية
- acid king - bad vision كلمات الأغنية
- santana - can't you hear me knocking كلمات الأغنية
- adrenalin o d - old people talk loud كلمات الأغنية