
jovi'al - unanikosha كلمات أغنية
baby zima taa tunapoianza hii sakata
hapo hapo swadakta, nadata na huba lako
tumba prakata rhumba chakacha, ai mbambata
wanichezesha na kwaito
baby nipe tena, tena
niwe chachu ya birimbi
unanibembeleza
mwakipesi na sheringe
niite niite hata ki_utani
jaguar mwenyewe utaniita nani
maneno yananitoka kinywani
na sauti ni ya kudeka deka
niite niite hata ki_utani
jaguar mwenyewe utaniita nani
maneno yananitoka kinywani
na sauti ni ya kudeka deka
unanikosha roho, unanikosha roho
unanikosha roho, unanikosha roho
najijua najijua
nikipenda wivu unanisumbua
tena unanishanigundua
mi kwako najishebedua
yaani mambo kwako sambamba
nikiwa nawe niko salama
kitandani mechi kandanda
tunacheza kandanda
niite niite hata ki_utani
jaguar mwenyewe utaniita nani
maneno yananitoka kinywani
na sauti ni ya kudeka dеka
niite niite hata ki_utani
jaguar mwenyеwe utaniita nani
maneno yananitoka kinywani
na sauti ni ya kudeka deka
unanikosha roho, unanikosha roho
unanikosha roho, unanikosha roho
كلمات أغنية عشوائية
- heavenotoday (рай не сегодня) - oh! wow! كلمات أغنية
- syce wavy - flex كلمات أغنية
- azer bülbül - karlı dağlar كلمات أغنية
- sadistic grimness - pulsating darkness كلمات أغنية
- d2ear - love pillow كلمات أغنية
- serane - ce soir/ice cold كلمات أغنية
- arte no escuro - boró كلمات أغنية
- swag toof - beautiful disaster كلمات أغنية
- loqiemean - трубка мира (peace pipe) كلمات أغنية
- 凛々咲 (ririsya) - close to you كلمات أغنية