
jovi'al - tantarira كلمات أغنية
excuse me
nimepata kampenzi
ananipa raha nyingi
na kunienzi
excuse me
nimepata kampenzi
ananipa raha nyingi
na kunienzi
jamani wee, unanijulia
kila nitakacho mimi wanipatia
jamani wee, unanijulia
kila nitakacho mimi wanipatia
hujachelewa chelewa, mimi ni wako
umenogewa sitoki kwako
hujachelewa chelewa, mimi ni wako
umenogewa sitoki kwako
umenifanya niwe, tantarira aah, rira aah
umenifanya niwe, tantarira aah, rira aah
umenifanya wee, mimi nipagawe, tantarira aah
umenifanya wee, mimi nipagawe, tantarira aah
hapendi nikiwa na stress
anapenda nikitabasamu
anipa mapenzi moto moto
hapendi nikiwa na stress
anapenda nikitabasamu
anipa mapenzi moto moto
anajua kunipa ham
mwishowe matam tam
hajafeli ni wa ukweli
napata daily
yeyе kw_ngu ni daktari
tiba yake nakubali
hajafeli ni wa ukweli
napata daily
jamani wee, unanijulia
kila nitakacho mimi wanipatia
jamani wee, unanijulia
kila nitakacho mimi wanipatia
nimеshiba sina njaa
kila siku raha
kwake si karaha
ananipenda kila saa
sitomnyanyanya paa
popote tutapaa
hujachelewa chelewa, mimi ni wako
umenogewa sitoki kwako
hujachelewa chelewa, mimi ni wako
umenogewa sitoki kwako
umenifanya niwe, tantarira aah, rira aah
umenifanya niwe, tantarira aah, rira aah
umenifanya wee, mimi nipagawe, tantarira aah
umenifanya wee, mimi nipagawe, tantarira aah
كلمات أغنية عشوائية
- of montreal - brush, brush, brush كلمات أغنية
- grouce - bad day كلمات أغنية
- cabeldi - corazón كلمات أغنية
- dbmk - crush كلمات أغنية
- tripleyothreat - bad to the bone كلمات أغنية
- esterina - fabula sangue كلمات أغنية
- lordis - consume me by night كلمات أغنية
- exit by name - disappear كلمات أغنية
- victory - open your eyes كلمات أغنية
- the response - hours كلمات أغنية