
jovi'al - harusi كلمات أغنية
harusi ni ya mola eh, hee
leo nalikamilisha aah
ubachela kwaheri, kwaheri
nabadilisha maisha, aah
umenipa maruani, hata siamini
umenikubali
umejua kuniheshimisha mbele ya waumini
umefunua umwari
mashallah, mejaliwa uzuri
wa sura na tabia, aah tena
hee wallah, tulizungushe bakuli
wenye nacho kuchangia, aah aah
leo naoa, naoa
naoa mie
leo naoa, naoa
naoa mie
(mmmm mmmh mmh)
machozi ya furaha yananitiririka
yaani kama ni kama mazihara, naolewa mie
zichepuke balaa, umeniona mimi mbele ya wengi
umenipa ushujaa, nitake nini mie?
watu wamependeza, ona wanavyocheza
baba umeniweza, ng’ang’ania
mashallaah hujajaliwa kiburi
usemacho wasikia, aah ah
hee wallah, tulizungushe bakuli
wenye nacho kuchangia, aah aah
leo naolewa, naolewa
naolewa mie
leo naolewa, naolewa
naolewa mie
wale wa ubwabwa
wamekamata matonge matonge
leta champagne
tugoganishe vikombe vikombe
ah kule wa kucheza
wanazungusha miuno si __
leo ni kushiba
tutoke ndani vibonge vibonge
كلمات أغنية عشوائية
- lauryn hill - the conquering lion كلمات أغنية
- marc anthony - che che cole كلمات أغنية
- ghoti hook - earth angel كلمات أغنية
- firehouse - two sides كلمات أغنية
- sasha - automatic كلمات أغنية
- chad mitchell trio - ain't no more cane كلمات أغنية
- ghost of the robot - smile كلمات أغنية
- sarcofago - the phantom كلمات أغنية
- sigit - detourne كلمات أغنية
- chad vangaalen - willow tree كلمات أغنية