jovi'al - gubu كلمات الأغنية
mwenzako kwako niko hoi
kwako ujanja sina
ila unanifanya toy
daily unanizuga
mapenzi haya tafarani
unanifanya humba
moyo wako pembe jura
hauna maarifa
wanipa pressure mwenzio sipumui(aha aha)
mwenda pori sio kwani hubagui
kichwa hadharani mkomoe nani(aha aha)
ili kusudi nikose amani
umeniona zuzuzuzu
umeshapanda bei
j_po mwenzako kanihusudu husudu
tena kwako siongei
yaani zuzuzuzu
umeshapanda bei
j_po mwenzako kanihusudu husudu
tena kwako siongei
nishakuchoka(gubu gubu gubu)
siongei nawe(gubu gubu gubu)
we nenda zako(gubu gubu gubu)
nishakuchoka(gubu gubu gubu)
sisemi nawe
yaweke mambo sawa
usinizuge
mbona nipo fire
waacha uume
ninavyonga swadakata
kiunoni shanga chakacha
vurugu ya patashika
yaani huba
ninavyonga swadakata
kiunoni shanga chakacha
vurugu ya patashika
yaani huba
umeniona zuzuzuzu
umeshapanda bei
j_po mwenzako kanihusudu husudu
tena kwako siongei
yaani zuzuzuzu
umeshapanda bei
j_po mwenzako kanihusudu husudu
tena kwako siongei
nishakuchoka(gubu gubu gubu)
siongei nawe(gubu gubu gubu)
we nenda zako(gubu gubu gubu)
nishakuchoka(gubu gubu gubu)
sisemi nawe
wanipa pressure mwenzio sipumui(aha aha)
mwenda pori sio kwani hubagui
kichwa hadharani mkomoe nani(aha aha)
ili kusudi nikose amani
nishakuchoka(gubu gubu gubu)
siongei nawe(gubu gubu gubu)
we nenda zako(gubu gubu gubu)
nishakuchoka(gubu gubu gubu)
sisemi nawe
كلمات أغنية عشوائية
- too bad eugene - drawing straws كلمات الأغنية
- too bad eugene - everybody's gone كلمات الأغنية
- too bad eugene - fighting words كلمات الأغنية
- too bad eugene - homegoing كلمات الأغنية
- too bad eugene - hypothetical كلمات الأغنية
- too bad eugene - jack and jill كلمات الأغنية
- too bad eugene - nobody's home كلمات الأغنية
- too bad eugene - premodern donna كلمات الأغنية
- too bad eugene - q & a كلمات الأغنية
- too bad eugene - theological كلمات الأغنية