kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

josephs quartzy - ni wewe كلمات الأغنية

Loading...

kimekufanya nini leo mpaka unerudi kw_ngu
nak_mbuka uliposepa ukaniacha na machungu
ukasahau ya kuwa umevunja ahadi yangu
ukidai sina pesa ukawataka wenye pesa
sitokupa nafasi nishampata anayenipenda
siku hizi boss boss mitaa wananipenda
mengi nilivumilia ya ndani ukayatoa
nak_mbuka those times ukatukana kwa kuboa
ni kwa dharau ukaniacha nashangaa
we shetani wa moyo w_ngu ulifanya nikose raha
ulifanya nikose raha we shetani wa moyo w_ngu ulifanya nikose raha
uliyenifanya nikose raha ni wewe, ni wewe
uliyenifanya nishinde njaa ni wewe, ni wewe
uliyenifanya nikose raha ni wewe, ni wewe
ushanichapa kama fimbo fimbo fimbo
ushanichapa kama fimbo fimbo fimbo
ushabaki kama fumbo fumbo fumbo
ushabaki kama fumbo fumbo
beat
moyo naumia kukupenda najutia
leo mchana kutwa ndoto kufifia
zangu kusifia wenye nazo kutumia
acha nikimbie nimechoka vumilia
bado nashangaa napigwa na butwaa
nipo kwa mataa siamini nakataa
kiuno ukakata tumbo ukaleta
uliponiteta ukawa dikteta
mpenzi ukapeta ukawin kila sekta
leo unajileta kama kilometa
nakosa hata furaha penzi lako ni balaa
nakosa me furaha penzi lako ni balaa
uliyenifanya nikose raha ni wewe, ni wewe
uliyenifanya nishinde njaa ni wewe, ni wewe
uliyenifanya nikose raha ni wewe, ni wewe
ushanichapa kama fimbo fimbo fimbo
ushanichapa kama fimbo fimbo fimbo
ushabaki kama fumbo fumbo fumbo
ushabaki kama fumbo fumbo
end

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...