kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

josco boy - ukimwona كلمات الأغنية

Loading...

ukimwona mwambie mwezie naumia
ukimwona mwambie mwezie nimeshakoma ooh
ukimwona mwambie hali yangu mbaya oooh
ukimwona mwambie hali yangu mbaya oooh..!

nilijifanya mjanja mimi
k_mbe mjinga mimi ooh.!
nilijifanya mjanja mimi
k_mbe mjinga mimi
najuwa mengi tumepitia..!
najuwa mengi tumepitia
nijifanya mjuaji mimi hii..! oooh
nimekubali mabaya na mazuri
yote nimekubali..
nimekubali mabaya na mazuri
yote nimekubali eeeh..!
sina lakufanya oooh
nimekubali mabaya na mazuri
sina lakufanya…!
nimekubali nimekubali
sina lakufanya
nimekubali nimekubali
sina lakufanya
sina sina sina ooh
sina lakufanya oooh
ukimwona mwambie josco boy
ninaumia oooh
ukimwona mwambie josco boy
ameshakoma ooh
ukimwona mwambie josco boy
hana raha ooh
ukimwona mwambie sina raha oooh
ingawa ata kukusamilia ooh
moyoni naumia, moyoni
naumia nimebaki mtahani mimi
natangatanga nina lakufanya
oooh mwenzio sina kazi oooh
nimekoma mimi ooh nimekoma mimi
yani nimekoma nilijifanya
mjanja mimi k_mbe mjinga mimi..!

nimekubali mabaya na mazuri
yote nimekubali, nimekubali
mabaya na mazurii oooh
eeh sina neno sina neno oooh
sina lakufanya sina lakufanya ooh
kubali shetani hakutaka tudumu ooh
najuwa hukuwa mkaidi wewe ilah
mjinga mimi

ukimwona mwambie josco boy
ninaumia oooh
ukimwona mwabie hali yangu
mbaya
yeah hahah josco boy..!

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...