josco boy - mi amor كلمات الأغنية
hahah yahi josco boy.!
ooh mi amor te amo babe.!
ooh mi amor te amo
yani nikuona moyoni nafuraha
yani nikuona moyoni nafuraha
mtoto umeumbika uzuri wako unapitiliza
mtoto umeumbika uzuri wako unapitiliza aaah
twende tu enjoy babe
maisha yasikuizi ukipata unajilia
najuwa wana wivu ila achana nao mi amor
you’re my number one babe!
you’re my number one
number one, number one, number one
twende zetu tuka fly
twende zetu tuka fly
tuka fly tuka fly tuka fly
oooh babe
yani nikiwa na wewe
sina shida yoyote
nikiwa na wewe
sina shida yoyote
yani nikiwa na wewe ‘
sina shida yoyote
yani nikiwa na wewe
sina shida yoyote
nikiwa na wewe
sina shida yoyote
yani nikiwa na wewe ‘
sina shida yoyote
mimi kipofu mimi kipofu
kwako sioni babe
let’s enjoy babe (babe)
life is too short. (short. short.short.)
nakupenda sana babe
you make me fall into your heart babe
i know i know
you never alone. you never alone
popote niendapo nipo na wewe
kamwe (usiruhusu)
eti sifai mi amor
maana wewe ndiye unaejuwa undani w_ngu
kamwe (usiruhusu)
eti sifai mi amor
maana wewe ndiye unaejuwa undani w_ngu
ooooh babe
yani nikiwa na wewe
sina shida yoyote
nikiwa na wewe
sina shida yoyote
yani nikiwa na wewe ‘
sina shida yoyote
yani nikiwa na wewe
sina shida yoyote
nikiwa na wewe
sina shida yoyote
yani nikiwa na wewe ‘
sina shida yoyote
mimi kipofu mimi kipofu
kwako sioni babeeeh ooh babe
uanvyo ilo shepu lako uzuri
ndio un_z_di unanikosh_ga
oooh nono yaii eeeeh
josco boy
كلمات أغنية عشوائية
- management - anita كلمات الأغنية
- ocho munna - in my eyes كلمات الأغنية
- marquis of vaudeville - the enigma men كلمات الأغنية
- yn jay - bitch كلمات الأغنية
- fuckcru - i jus wanna know كلمات الأغنية
- brettyn rose - almost love كلمات الأغنية
- fz44 - zweiter tag كلمات الأغنية
- kotak - inspirasi sahabat, vol. 2 كلمات الأغنية
- spider gang - in the club كلمات الأغنية
- yung mal - gah damn كلمات الأغنية