kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jomonotics - ningekuoa كلمات الأغنية

Loading...

batoto ba wenyewe bamekataliwa kuja kwetu, shiida

ka’ sio mamako ningekuoa
mambo yetu ilikuwa sawa
safari ingeendelea tungefika far
but maybe ni vizuri hatujaoana
ka’ sio mamako ningekuoa
mambo yetu ilikuwa sawa
safari ingeendelea tungefika far
but maybe ni vizuri hatujaoana

ni uongo hiyo mi’ sikupeana mimba
mimba gani, hiyo mchezo sina
na vile inakaa, haki yangu sina
na tabia zangu nzuri, hazikucount
walicount, zangu ndururu
mi’ nakuwish msichana ufind better in life (better in life)
no beef, usijali i’m at peace
life huhappen, na hii lesson ni deep
me i’m fine and i hope uko sawa uliko
sio hat, kofia, sio hut, kanyumba lakini kuna heart ilibreak
na hiyo ishapita, shughuli next isikuwe any lame, d_mn
duniani huwezi oa mamako
mamako ashaolewa na babako

ka’ sio mamako ningekuoa
mambo yеtu ilikuwa sawa
safari ingeendelea tungefika far
but maybе ni vizuri hatujaoana
ka’ sio mamako ningekuoa
mambo yetu ilikuwa sawa
safari ingeendelea tungefika far
but maybe ni vizuri hatujaoana
masaa kidogo, mambo nayo mingi
bado najipanga, ila huniamini
yangu ni yetu, yako ni yako si ikuwe yetu
hii mambo complicate, imebidi nisonge kando
kuna vile naona mbeleni haiwezi work
hata mahali imefika, jamani ni rough
kuna vile naona ni heri, kuwachana
mambo madogo madogo, tunagombana
ni kweli mahali imefika, hatudate
tumejaribu sana, kunavigate
kuna vile naona ni heri, kuwachana
lawama ni nyingi sherry, tangia jana
juu nimekuwa mbaya kwako

ka’ sio mamako ningekuoa
mambo yetu ilikuwa sawa
safari ingeendelea tungefika far
but maybe ni vizuri hatujaoana
ka’ sio mamako ningekuoa
mambo yetu ilikuwa sawa
safari ingeendelea tungefika far
but maybe ni vizuri hatujaoana

ka’ sio mamako ningekuoa
mambo yetu ilikuwa sawa
safari ingeendelea tungefika far
but maybe ni vizuri hatujaoana

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...