
jomonotics stmic - raaa كلمات أغنية
nhehehe
ooh yeah
ooh yeah ooh yeah ooh yeah, eiy!
.
.
.
.
it’s jomo, is jomonotics. sha sha!
verse 1
niko nairobi na niko thika
the same time simu nashika, ni bash imeshika
wengine ni bibi hatuna, wengine madini, dini
maadili wengine tuna, uamuzi muhimu buda
ujana ni moshi me nilinotice so amma live it all
me ni mdosi na nina pochi so amma do it all
una worry kuna ngori, that’s so minimal
na, me nina mori ya kuworship, that’s so biblical
kufika tu kwa bash hivi nasaka msichana mrembo
tufanye harusi kwa keja wengine waanze kushuku ni birthday
monday, tuesday, ooh leo ni friday
but kama una form toa juu mimi lazima niparty
hook
so ka unapenda maisha yako sema raaa
raaa
ka unapenda maisha yako sema raaa
raaa
sema raaa wewe si useme raaa
raaa
sema raaa wewe si usemе raaa
raaa
verse 2
mindo mkali, hawa mafala wengine hawabambi
mindo faly hao wenginе ni pupa na bhangi
tei, kush, zii me sobber mind
form ni kujibamba niite bash if you don’t mind
nikuje na uber ama kalesa bado naarrive
kufika tu hivi madem kibao nishaanza kivibe
form inajipa, hata kidogo siwezi kulala
kanashika buda huku form ni raha raha
hook
so ka unapenda maisha yako sema raaa
raaa
ka unapenda maisha yako sema raaa
raaa
sema raaa wewe si useme raaa
raaa
sema raaa wewe si useme raaa
raaa
bridge
tukipatana form ni kujibamba
daily tukipatana form ni kujibamba
tukipatana form ni kujibamba
daily tukipatana form ni kujibamba
so form ni kujibamba
daily form ni kuji
form ni kujibamba
daily form ni kujibamba
form ni kujibamba
daily form ni kuji
form ni kujibamba
daily form ni kujibamba
hook
so ka unapenda maisha yako sema raaa
raaa
ka unapenda maisha yako sema raaa
raaa
sema raaa wewe si useme raaa
raaa
sema raaa wewe si useme raaa
raaa
كلمات أغنية عشوائية
- phinehas - a war that never ends كلمات أغنية
- loretta lynn - jingle bells كلمات أغنية
- jonah matranga - i want you back كلمات أغنية
- salmo - perdonami كلمات أغنية
- линда - психи كلمات أغنية
- eve - お気に召すまま كلمات أغنية
- brvndn - rock with us كلمات أغنية
- dave east - cut throat كلمات أغنية
- dado polumenta - za brata mog كلمات أغنية
- kunto aji - konon katanya كلمات أغنية