jomonotics stmic - nimeangukia (ago gi rungu) كلمات الأغنية
-intro-
ooh yeah
nhh (nhh)
-hook-
maisha nzuri ndio ile me nataka
maisha mbaya ndio ile sikutakii wewe
nakuombea mungu upate unachotaka
hardwork ipay, bahati zije ufeel like
nimeangukia (ago gi rungu) ×2
nimeangukia mimi eiy (ago gi rungu) ×2
-verse 1-
respect to wheather yetu ya nairobi, mahali kuneza nyesha anytime (huh)
wamama ka wote wameshuka na budah simaanishi wamedrop (yeah)
na mimi nataka hiyo, but sina subira so siezi line up
walio juu wanashuka so leta ujinga upewe lesson
jifunze kuvaa, uwache kushinda ukiteta eti _kuna baridi_
us ni sisi but ukitaka tutatumia the other meaning (-ss)
success ziko, lakini mingi ni za wenye wanafanya mitihani shule
uko chini kama shoe lace
hauna njumu we ni shoeless
na kukinyesha niko safe
hata jua ikuje kali bado mimi niko safe
nauza cds, budah nunua yangu mixtape
all i want for you people ni pia nyinyi muwe safe
-hook-
maisha nzuri ndio ile me nataka
maisha mbaya ndio ile sikutakii wewe
nakuombea mungu upate unachotaka
hardwork ipay, bahati zije ufeel like
nimeangukia (ago gi rungu) ×2
nimeangukia mimi eiy (ago gi rungu) ×2
-verse 2-
nishazaliwa, that’s why lazima niishi maisha kivyangu
life ni tamu bora uko determined na uwe na focus
jipee shughuli, shughuli muhimu, na usiwahi jishuku humu
mwaga jasho ka ni k-mwaga juu hiyo mshahara itadumu
na ukiona kuna kitu hujui, enda uliza niaje?
na kama kuna kitu unajua, usifiche chanuana
maisha ni yako sio yangu, me nina yangu yenye nabuild
focus on vitu muhimu na za kijinga zote lenga huh!
-hook-
maisha nzuri ndio ile me nataka
maisha mbaya ndio ile sikutakii wewe
nakuombea mungu upate unachotaka
hardwork ipay, bahati zije ufeel like
nimeangukia (ago gi rungu) ×2
nimeangukia mimi eiy (ago gi rungu) ×2
maisha nzuri ndio ile me nataka (it’s -jomonotics- )
maisha mbaya ndio ile sikutakii wewe
nakuombea mungu upate unachotaka (stmic)
…taka
maisha mbaya ndio ile sikutakii wewe
nakuombea mungu upate unachotaka
oh yeah oh yeah
(it’s jomo, it’s jomonotics)
maisha nzuri ndio ile me nataka
maisha mbaya ndio ile sikutakii wewe
nakuombea mungu upate unachotaka
hardwork ipay, bahati zije ufeel like
ooh yeah
كلمات أغنية عشوائية
- dexta daps - mi c mi bed n miss u كلمات الأغنية
- a day to remember - forgive and forget كلمات الأغنية
- citizens & saints - doubting doubts كلمات الأغنية
- from indian lakes - am i alive كلمات الأغنية
- mezzo - 恋のかけら كلمات الأغنية
- stalking gia - young diana كلمات الأغنية
- michał wiśniewski - ja chcę كلمات الأغنية
- kevin and the red rose - malu malu mau كلمات الأغنية
- muse - house of the rising sun (cover) كلمات الأغنية
- hamilton leithauser + rostam - rough going (i won't let up) كلمات الأغنية