joh makini - content كلمات الأغنية
eeeh,,, content,, (maudhui)
content (eey)
maudhui (content)
maudhui (content)
pambana ela yoteee tuvunje manews (content)
nukisha kivyovyotee tugonge maviews (content)
ubora umeadimika shinda bikra, exellent is missing
ni kama zimajalalani fikra takataka despline
masela hawagongi likes mpaka waone gscreen
rangi zinawekwa rehani, mambo ya ndani hadharani
ni funza wamejaa vichwani ama ni kutafta kukaa hewani?
chapchap kutambiani, umaaruf ni kombi gani?
mataptap kabisa yani.
kuna kufunga ndoa kutafta familia na watoto wa kulea
na kuna kufunga ndoa kutafuta content, mambo yakuongelewa (content)
kulialia kwenye interviews, kuchafulia majina maexes (content)
kupagawishwa na kubreak manews, kujichulia vifo kiwepesi (content).
koras
maudhui (content)
maudhui (content)
tunapenda sana ichukue nafasi yakee (content)
tunataka ukweli ukalie kiti chakee (content)
maudhui (content)
maudhui (content)
wanasema wasani elimisheni, mara oo wasani badilikeni (content)
wakiskia kuna video chafu imesambaa, wanahaa kutafuta maconnection
wanasaka maconnection, k_mbe kuna jinga lipo kwenye mision
kuna jinga linatafuta matension, attention please
usinimaindi mwana take it easy, kuna kazi nataka kurelease
ila i know, you know wali ndiizi (content)
maruhibiri skuizi sio juu ya kwanini adam alikula tunda
mahubiri skuizi niii juu ya jinsi ya kula tunda (content)
wanasiasa wanatengeneza brand hawazingatii maendeleo (content)
wan_z_ngatia picha na wana kijiji,
kuliko maendeleo ya kijiji (content)
chamsingi kule kwenye mitandao iyonekane ameondoka na kijiji (content)
msanii mchanga unaumia, na sio kweli kwamba hujui mziki
jamaa wanasema huzungumziki, huna matukio interview vipi (content)
hatununui pombe kupandisha kwa kichwa,
tunasaka mapicha kupandisha kwa insta
vile tukishindwa kujikomboa afrika, tunajikuta tu ulaya mabebi siter
maumbea maudaku tupo insta,
harakati si tun_z_fanya twitter… (content)
tunapenda sana ichukue nafasi yakee (content)
tunataka ukweli ukalie kiti chakee (content)
maudhui (content)
maudhui (content)
content
كلمات أغنية عشوائية
- mannyiswicked - lovin كلمات الأغنية
- verevolf - не напрасно (not in vain) كلمات الأغنية
- fontaines d.c. - you said كلمات الأغنية
- gian marco - corazón solitario كلمات الأغنية
- bskboys - wakacje كلمات الأغنية
- brillit agmo - como un cero a la izquierda كلمات الأغنية
- sick individuals - dance with me كلمات الأغنية
- the arusha accord - the resurgent كلمات الأغنية
- pootie - calling all creeps! كلمات الأغنية
- a-kil/yd - peace of mind كلمات الأغنية