joh makini feat. chidinma - perfect combo كلمات الأغنية
a city in the house
miss kedike and king himself
wanasema kuishi kwingi ni kuona mengi
chagua ilinishinda chaguzi ni nyingi
kimsingi tulianza na msingi
and winner is me and you washindi
kweli nashukuru mungu ashenalee
changu ni chako mega jipendelee
sioni sababu mi nisikupendelee
mi nashika nishike tuendelee
mahaba ni misumari nigongelee
taabani niteketee
tahadhari tuweke bango wasitusogelee
huu mchezo wa mapenzi tunatanata
swadakta, manyota wa danta
perfect combo na so garata
kama ni kamari basi mimi ni taita
jina lenyewe joh makini fighter
me and you n perfect combo
oh! baby umeniroga roga juujuu
oh! juu
if you do me, do me better my buh
oh! my buh
vile natw-nga hii kinu wachawi finyu
tuna miundo hakuna kutumia mbinu
crazy wrong usiniendeshe
uniogeshe nikuogeshe
unioneshe nikuoneshe
nilicho wanyima wenzako
kiti cha umalkia himya ni chako
international sio tena local
kwa permanent sio tena temporary
kwa manet wazipandishe habari
shusha net mimi na wewe ni party
oh! baby let me your baby’s dady
me and you ni perfect combo x 4
dunia mingi mitihani
jibu langu ni wewe
majibu ni mi na wewe
perfect combo
me and you perfect combo…
niger. tiziii… rk…
كلمات أغنية عشوائية
- jihan audy - ku ingin bersama كلمات الأغنية
- walking papers - what did you expect? كلمات الأغنية
- nissy(西島隆弘) - 恋す肌 (koi su hada) كلمات الأغنية
- esa risti - layang dungo restu كلمات الأغنية
- kidsez - molly كلمات الأغنية
- shark kid - shiranai كلمات الأغنية
- lucy & la mer - heaven كلمات الأغنية
- fabio santos mzs - dangerous كلمات الأغنية
- tha god fahim - dirty diamonds كلمات الأغنية
- kid lucilfer - sharingan كلمات الأغنية