joel lwaga - sitabaki kama nilivyo كلمات الأغنية
no time no problem
download and open an sc mobile digital account
open an account in less than fifteen minutes
and get it all done, be unstoppable with standard chartered
maisha haya, ninapita tu
hali hii ya sasa ni kwa muda tu
ushindi w_ngu, u karibu nami
mtetezi w_ngu, yu hai
sitabaki kama nilivyo
sitabaki kama nilivyo
sitabaki kama nilivyo
sitabaki kama nilivyo
silalamiki, wala sikufuru
najua ni darasa napitishwa
imani yangu ipo kwenye kipimo
najua nitapita tu
sitamani ya wengine wala sijilinganishi
najua wakati w_ngu upo
siogopeswi na mapito ninayoyapitia
namwamini yule aliyeruhusu nipite
sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
sitabaki kama nilivyo (kweli sitabaki kama)
sitabaki kama nilivyo (hali hii ni ya muda)
sitabaki kama nilivyo (hali hii hapa napita tu)
(kweli ninavuka)
sitabaki kama nilivyo (kuna mahali ninakwnda)
(eeeh sitabaki kama…)
sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
sitabaki kama nilivyo (nilivyo)
mtetezi w_ngu yu hai ((yu hai)
yu hai (yu hai)
yu hai (yu hai)
eeeh mtetezi w_ngu yu hai ((yu hai)
yu hai (yu hai)
yu hai (yu hai)
hey mtetezi w_ngu yu hai ((yu hai)
anaishi (yu hai)
yu hai (yu hai)
sitabaki kama nilivyo (nilivyo)
mtetezi w_ngu yu hai ((yu hai)
yu hai (yu hai)
yu hai (yu hai)
hey mtetezi wako yu hai (yu hai)
yu hai ((yu hai)
yu hai (yu hai)
kweli mtetezi w_ngu yu hai (yu hai)
yu hai (yu hai)
yu hai (yu hai)
sitabaki kama nilivyo (nilivyo)
sitabaki kama nilivyo (kweli nitashinda tu)
sitabaki kama nilivyo (siumii na hali hii)
(nafurahishwa na ile ijayo)
sitabaki kama nilivyo (hey kama, sitabaki hivi)
sitabaki kama nilivyo (kweli sitabaki kama)
sitabaki kama nilivyo (giza huwa nene alfajiri)
sitabaki kama nilivyo (asubuhi yangu yang’aa)
sitabaki kama nilivyo (kweli nitainuka tu)
sitabaki kama nilivyo (bwana yuko nami nilivyo)
كلمات أغنية عشوائية
- shovels & rope - mexico كلمات الأغنية
- yojance feat. neuri yojance mercedes - vuelve a mi كلمات الأغنية
- shovels & rope - mississippi nuthin' كلمات الأغنية
- shovels & rope - pretty polly كلمات الأغنية
- vas leon - unfair كلمات الأغنية
- xoglizzy - sadness كلمات الأغنية
- trey anastasio - about to run كلمات الأغنية
- walking on cars - one last dance كلمات الأغنية
- shovels & rope - i'm your man كلمات الأغنية
- nipsey hussle - racks in the middle كلمات الأغنية