kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

joel lwaga - muda كلمات أغنية

Loading...

ji tu

ni kweli naonekana niko nyuma
kila kuchicha watu washamiri kwa magari majumba
juzi, juzi
wengine tulikuwa nao sawa tu
ila kwa sasa si wenzangu tena siwagusi hata nukta
ni kama niko duniani kuwasindikiza wao
usioptulia unaweza sema mungu ni wa peke yao
ila maisha ni kama foleni inajongea mdogo mdogo
mungu wao ndio mungu w_ngu ndio wa isaka na yakobo

wakati na bahati, huawapata wote
zamu yangu itafika wacha niiongejee
la maana ni uhai mungi ni wote
ndio anapanga aanze nani, nani afuate

yani ni suala la muda
muda, nipeni tu muda
mungu ni wa wote jamani
muda, nipeni tu muda
yani ni suala la muda
muda, nipeni tu muda
kikubwa niko kwa foleni
muda, nipeni tu muda
najua wengi husema kila asiyenacho hunyenyekea
ila nimemwomba mungunisibadilike akinipea
vila nawaona watu na kuwachukulia nikiwa sina
nisije jiona mungu mtu pinda mombo yakiniyookea

najitahidi kugawana hichi kidogo
nilichonacho na wenzangu
nimejifunza kwamba kutoa ni moyo
sio mpaka kiwe kingi changu
kwenye sadaka sinaga visingizio
hio ni kama pai kw_ngu
hata nikiwa sina kabisa siku hyo
mungu anaujua moyo w_ngu

na wakati na bahati, huawapata wote
zamu yangu itafika wacha niiongejee
la maana ni uhai mungi ni wote
ndio anapanga aanzе nani, nani afuate

yani ni suala la muda
muda, nipeni tu muda
mungu ni wa wote jamani
muda, nipеni tu muda
yani ni suala la muda
muda, nipeni tu muda
kikubwa niko kwa foleni
muda, nipeni tu muda
yani ni suala la muda
muda, nipeni tu muda
mungi ni mwanimifu
muda, nipeni tu muda
maana maisha ni foleni kila siku inatembea pole pole
namwamini mungu ipo siku nitafanikiwa
maana maisha ni foleni kila siku inatembea pole pole
namwamini mungu ipo siku nitafanikiwa
kweli ni saula la muda
muda, nipeni tu muda
muda ni mwaminifu jamani
muda, nipeni tu muda

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...