kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jeune premiersilambien - wema wako كلمات الأغنية

Loading...

sina ofu na shaka maana najuwa mungu upo
kama ulivyo mlinda danieli katika lile pango la simba
namimi najuwa bwana utanitetea

katika maisha yangu yahunyonge wa hapa duniani nihokowe baba na aduhi zangu zote
wanaho winda nafsi yangu baba mimi nahomba unihokowe ohh wema

wema wako wa ajabu kw_ngu
ulinzi wako wanitosha mimi
ukuhu wako wa ajabu kw_ngu
sito acha kuku abudu bwana wewe ndo tegemeho langu
sito acha kukusifu bwana mkombombozi w_ngu mimi
eshima na mamlaka nizako elohim
sito acha kukusifu bwana mkombombozi w_ngu mimi

aduhi waj_po jipanga aah
kupigana nami
gongo lako nafimbo yako vyani ongoza mimi
maana najuwa we ndo mlinzi w_ngu
sina shaka sina woga najuwa neema yako iko juu yangu
ohhh wema

wema wako wa ajabu kw_ngu
ulinzi wako wanitosha mimi
ukuhu wako wa ajabu kw_ngu
sito acha kuku abudu bwana wewe ndo tegemeho langu
sito acha kukusifu bwana mkombombozi w_ngu mimi
eshima na mamlaka nizako elohim
sito acha kukusifu bwana mkombombozi w_ngu mimi

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...