jesus the rebirth - godfidence كلمات الأغنية
intro
yeah!! i go by the name of jesus!
godfidence ohh!
elly on the the track pal!
verse 1
wazee wa pangu pakavu tia mchuzi hatugaigai na upwa
roho safi watoto wa mungu hatukai kai na husda
hata mkituombea mabaya mbona blessing sana
hapa ku_fail ni ngumu ka’ k_mfundisha messi kuchana
cause i’m the last man standing ni unyama
mchizi kabisa siwezi kalishwa na new comers
kwanza wanaonichukia wote nawajua mwana
hii kichwa imeficha mengi ka’ make up ya maua sama
so mki_diss situnawaongelea mazuri mbele ya mungu
kusnitch ni ka’ kukojolea kaburi mbele ya ndugu
kwahiyo ukijifanya mbishi, ni unoko hatupigi goti
mi ndo mv bukoba, kiboko ya machizi boti
waliotabiri nitaanguka kwa uchungu ndio wamesanda
wanashangaa nawakata mdomo wakati mungu ndio anapanga
mnavyovifanya sio vipya ila kw_ngu ni marejeo mkuu
siku hizi heshima kazi ila pesa ni matokeo tu
chorus
what goes around comes around, n_gga i’m back like i never left
nani alifanya nini that is none of my business
nisipo shukuru nitakua ka’ na_complicate
kilichoniwеka hapa sio mimi ni godfidence
nitakua ka’ na_complicate
kilichoniwеka hapa sio mimi ni godfidence ×2
verse 2
skiza mjomba kutokwa na jasho jingi sio kipimo cha kazi
ila k_mshauri mjinga ni ka’ unachimba shimo juu ya maji
so siwezi upoteza huu muda w_ngu nilio bakiza
nianze kuongelea kuhusu muda w_ngu nilio poteza
kwanza sina time ya kupandishana pressure na watu
so siwezi kuvunja n_z_ ili nipate pesa ya madafu
j_po washkaji ndio mnaleta unafki nikose amani
ila bado napambana ili njia ya chooni isiote majani
vyenu mnaona ka’ havitoshi mnatuomba na vyetu
k_mbe hamjui udogo wa kikubwa chenu ndio ukubwa wa kidogo chetu
ndo’ maana nakimbizana na fursa
kwa speed ka dereva alieshindikana kwa tuta
maana ukiwa hai unaweza kuigiza kua umekufa
ila ukiwa umekufa huwezi kuigiza kua upo hai
na siku hizi ukila dagaa tu watu wanakuona freemason
ndio maana sijali nafanya yangu sihofii macho
chorus
what goes around comes around, n_gga i’m back like i never left
nani alifanya nini that is none of my business
nisipo shukuru nitakua ka’ na_complicate
kilichoniweka hapa sio mimi ni godfidence
nitakua ka’ na_complicate
kilichoniweka hapa sio mimi ni godfidence ×2
bridge
n_gga i’m back like i never left, i’m back like i never left ×3
yeah i go by the name of jesus
repeat chorus
كلمات أغنية عشوائية
- charlie brown jr. - resolve o meu problema aí كلمات الأغنية
- the kristet utseende - när alla vandrat hem كلمات الأغنية
- propain - against the grain كلمات الأغنية
- josé luis rodríguez - baila mi rumba كلمات الأغنية
- candye kane - didn't we كلمات الأغنية
- tren loco - clase trabajadora كلمات الأغنية
- planet funk - the switch (king unique pushin' vocal mix) كلمات الأغنية
- tida - mirror كلمات الأغنية
- patrick street - the holy ground كلمات الأغنية
- троеразных (troeraznykh) - совсем не жаль كلمات الأغنية