kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jerebet - sifai...wanipenda كلمات الأغنية

Loading...

verse 1:
ni rahisi kujidharau
mimi ni wa dhambi sina, nguvu
kweli mi ni rafiki wako, yesu?
sifai (fai), fai (fai), fai (ooh)
sifai (fai), fai (fai), fai

nang’ang’ana kunena ukweli
nashangaa ananitumia, (mimi? yeah)
shida ni najua mapungufu, yangu
sifai, (fai), fai (fai), fai (ooh)
sifai (fai), fai (fai). fai

chorus
kwa neema yako, haki yangu ni bure
kwa rehema zako, mimi nimekombolewa
nami najivunia, kwa imani si matendo
kwani wanipenda (penda), penda (penda) , penda (ooh)
na wanipenda, (penda), penda (penda), pendaaa

verse 2:
nimekuja kujua nimejiangalia sana
nikidhani ni uwezo w_ngu sio wako bwana
nikajikwamiza nikibeba mzigo
eti sina, roho, mfanano wako!
kajua ni adui na uongo, uongo
kama wakati wa adamu na hawa
hata kama musa alijishuku alitenda makuu ya yesu

ooh,ooh,ooh
ya yesu, ya, ya yesu
ooh, ohh, yeahhh
ya yesu, ya, ya yesu
yeah!

chorus:
kwa neema yako, haki yangu ni bure
kwa rehema zako, mimi nimekombolewa
nami najivunia, kwa imani si matеndo
kwani wanipenda (penda), penda (pеnda) , penda (ooh)
na wanipenda, (penda), penda (penda) , pendaaa

bridge:
hakika, wema nazo fadhili, yeah
zitanifuata mimi
nitakaa nyumbani mwa bwana
siku zote za maisha yangu, oooh
chorus:
kwa neema yako, haki yangu ni bure
kwa rehema zako, mimi nimekombolewa
nami najivunia, kwa imani si matendo
kwani wanipenda (penda), penda (penda) , penda (ooh)
na wanipenda, (penda), penda (penda) , pendaaa

wanipenda, penda, penda
wanipenda, penda, penda…

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...