kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jerebet - asemaye bwana كلمات الأغنية

Loading...

verse one:
kila neema, ye ajaza kwa wingi
hadi kwa jirani, mpate kuzidi
ndege wa angani, hupata riziki
maua shambani, huwa shiny shiny

chorus:
mawazo ya amani!
asemaye bwana
kuwapa tumaini!
asemaye bwana
siku zenu za usoni!
asemaye bwana
pamoja na_nyi!
asemaye bwana
reprise:
sijui ya kesho, kesho, kesho, kesho, ooh
bwana anajua ya kesho, kesho, kesho, kesho, ooh

verse two:
ona the story kila wakati kwa tv
ni ya kuhofya, ni ya kuhofia
ukibadilisha uoga ukawa imani
si ya kuhofya, si ya kuhofia
hey!
every step god has prepared
know that you’re ready for more
kuna kuna ushindi kama times za before, oohh

chorus:
mawazo ya amani!
asemaye bwana
kuwapa tumaini!
asemaye bwana
siku zenu za usoni!
asemaye bwana
pamoja na_nyi!
asemaye bwana

reprise:
sijui ya kesho, kesho, kesho, kesho, ooh
bwana anajua ya kesho, kesho, kesho, kesho, ooh

bridge:
usifadhaike, kesho itajisumbukia
bwana ni upendo, yeye anaconquer the fear
na na na na
na na na na
na na na na
oooh

chorus:
mawazo ya amani, yeah!!
asemaye bwana
kuwapa tumaini, ooh!
asemaye bwana
siku zenu za usoni!
asemaye bwana
pamoja na_nyi!
asemaye bwana

vocals interlude
oooh, aah…!

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...