kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jerebet - abba father كلمات الأغنية

Loading...

jerebet
abba father
lyrics

verse 1:
vile baba apendaye watoto wake (ooh)
mikono yake awapa wamk_mbatie (ooh)
nguvu iliyoamsha yesu
ndio inayotembea nami (yeah)

kasema mi ni mwana wake
hawezi kunipatia mawe
nami nikiitisha mkate

chorus:
nakuita abba father
father, abba father (_4)

verse 2:
unaona ule blanketi ule wa joto (ooh)
ukijifunika unafurahisha roho (ooh)
upendo upi kama wako
mwenye sina baba, maishani mw_ngu

ni nani mwingine ninayeamini
ni nani mwingine anayenijali
kila kitu kikipotea, baba kwako kuna usaidizi
chorus:
nakuita abba father
father, abba father (_4)

bridge:
anipenda
anijali
anilinda
abba father
anipenda
oooooh

kasema mi ni mwana wake
hawezi kunipatia mawe
nami nikiitisha mkate

chorus:
nakuita abba father
father, abba father (_8)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...