jayna music - nayaweza كلمات الأغنية
verse:
one two go down mwokozi namsifu
jua ndo lishach0m_za acha tuianze siku
na kama ilivyo ada nipate kifungua siku
na mola ameshabless acha nitimize wajibu
ok! kila siku i pray na sidelay
napiga goti naomba mola afanye njia and hey!
shetani hudelay vya kwetu in every way
ila baraka ni zako tell the devil, no way!!!
so mama na baba na dada na kaka
hujakosea njia ye ni kweliu na hakika
hakuna presha uko sawa usitie shaka
kwa muda wake mambo yote yatanyooka
bridge:
he is an awesome god, hakika namuamini
ana mapenzi ya kweli, na ananithamini
he is my all time kila kitu, nathubutu kila siku
yeye hujaza mibaraka, sio mchana sio usiku
chorus:
nayaweza yote, kwake mwenyewe
anitiaye nguvu, iyeeeh
nayaweza nayaweza!!
nayaweza yote, kwakе mwenyewe
anitiayе nguvu, iyeeeh
nayaweza nayaweza!!
verse:
ni bwana wa mabwana, mwamba imara
akisema neno hana masikhara
sisi ni wana wake, wote kipenzi chake
bhana mi narelax nienjoy mapenzi yake
anastahili sifa, na heshima tu
ni mwenye haki njooni wote tumsifu
i ain’t ashamed, he is my all time kila kitu
nikiwa nae vya dunia si kitu
nimeamua k_mtukuza mungu
maana matendo yake ni matendo makuu
kanikirimia uzima na baraka tele
na bado kaahidi nipa uzima wa milele
bridge:
he is an awesome god, hakika namuamini
ana mapenzi ya kweli, na ananithamini
he is my all time kila kitu, nathubutu kila siku
yeye hujaza mibaraka, sio mchana sio usiku
chorus:
nayaweza yote, kwake mwenyewe
anitiaye nguvu, iyeeeh
nayaweza nayaweza!!
nayaweza yote, kwake mwenyewe
anitiaye nguvu, iyeeeh
nayaweza nayaweza!!
nayaweza yote, kwake mwenyewe
anitiaye nguvu, iyeeeh
nayaweza nayaweza!!
nayaweza yote, kwake mwenyewe
anitiaye nguvu, iyeeeh
nayaweza nayaweza!!
nayaweza yote, kwake mwenyewe
anitiaye nguvu, iyeeeh
nayaweza nayaweza!!
nayaweza yote, kwake mwenyewe
anitiaye nguvu, iyeeeh
nayaweza nayaweza!!
كلمات أغنية عشوائية
- packy - pacific time كلمات الأغنية
- sokół i marysia starosta - zdeptane kwiaty كلمات الأغنية
- ñu (españa) - fool كلمات الأغنية
- matik estrada & childish major - familly matters/yngwrld كلمات الأغنية
- 3pac - keepin it zhg كلمات الأغنية
- abhi the nomad - song3 كلمات الأغنية
- dot dot curve - scenek!d 06 كلمات الأغنية
- deaf havana - seattle كلمات الأغنية
- the platters - blue moon كلمات الأغنية
- 2 chainz - never كلمات الأغنية