kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jay melody - wa peke yangu كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
jini x66
ah, ah, ah
ah, ah
ah, ah, ah
jay once again

[verse 1]
vi macho na zake lips
k_mpata sio rahisi
yaani kweli mungu umenibariki
mimi umenibariki
na kabla ya hii gift
ukatufanya marafiki
mpaka sasa penzi liko lit
moto, kiukweli

[pre_chorus]
yaani kama nimeokota dodo
chini ya mpera, nimeokota dodo
na siambiliki, hata kidogo
mwenzenu mimi, nimeokota dodo

[chorus]
wa pekee yangu
huyu
wa pekee yangu
huyu
wa pekee yangu
wa pekee yangu
jamani, wa pekee yangu
huyu
wa pekee yangu
huyu
wa pekee yangu
wa pekee yangu
[verse 2]
mapenzi gani haya anayonipa? (anayonipa)
mpaka damu nasikia inavyo pita
kwenye moyo pia kwenye mishipa
(mishipa)
au tuseme ndio kashanishika

[pre_chorus]
yaani kama nimeokota dodo
chini ya mpera, nimeokota dodo
na siambiliki, hata kidogo
mwenzenu mimi, nimeokota dodo

[chorus]
wa pekee yangu
huyu
wa pekee yangu
huyu
wa pekee yangu
wa pekee yangu
jamani, wa pekee yangu
huyu
wa pekee yangu
huyu
wa pekee yangu
wa pekee yangu
[bridge]
darling, yupo moyoni
nnavyo muota, usingizini
jamani, darling yupo moyoni
nnavyo muota, usingizini

[post_chorus]
wa pekee yangu
huyu
wa pekee yangu
huyu
wa pekee yangu
(oh, na_na_na_na)
wa pekee yangu
jamani, wa pekee yangu (pekee)
huyu
wa pekee yangu (mimi hapa)
huyu
wa pekee yangu
wa pekee yangu

[outro]
i love you babe
music

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...