kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jay melody - usiniache كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
jini x66
jay once again
[?]

[verse 1: phina]
kukaa mbali ndio naogopa
naogopa nitanyang’anywa
kwa penzi lako hata kusota
yaani nitasota, nitang’ang’ana
kwenye hii dunia
heri ningekuona wa kwanza
haya nnayo kuambia
natamani nishike kipaza

[verse 2: jay melody]
kama mzigo, umeniokota
kwa maana nilishatupwaga
kuwa nawe nahisi ka naota
kwa jinsi unavyo nipa
unavyo nikoroga
ukinipa, hunipi mara moja, issh!
mara kwenye sofa
mara baby kalia kigoda
oh, oh
[chorus]
usiniache mimi
usiniache mimi
usiniache mimi
usiniache mimi
usiniache mimi
usiniache mimi
usiniache mimi
usiniache mimi

[bridge]
ah, ah, ah
oh, oh, oh
ah, ah, ah
oh, oh, oh

[verse 3: phina]
kama ni maua, basi ua rose
penzi linameremeta
nikikufikiria inakuja njozi
usiku mzima nakuota
penzi lako noma, lishanichoma
cha ajabu yaani hata siumii
masikio, umetoboa ngoma
maneno, maneno wala sisikii
[verse 4: jay melody]
oh, woah
kama ni kuzama, nishazama
waje waniokoe na boti
kwenye kina kirefu, nishakwama
mtulivu hata siogopi

[bridge]
unavyo nikoroga
ukinipa, hunipi mara moja, issh!
mara kwenye sofa
mara baby kalia kigoda
oh, oh

[chorus]
usiniache mimi
usiniache mimi
usiniache mimi
usiniache mimi
usiniache mimi
usiniache mimi
usiniache mimi
usiniache mimi

[post_chorus]
oh, woah
woah
hata nifanye nini, usiniache mimi
usiniache mimi
oh, oh_oh
oh, once again
oh, once again
nifanye nini?
ka mix lizer

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...